Mikoa ambayo Wanawake wanafahamu kupika Chakula na mikoa mbayo wanawake hawafahamu kupika Chakula kizuri ni hii hapa...

Mkuu watz wote wanajua kuwa wachaga hawajui kupika.
Labda watz wa KATERERO
Nimekwambia fanya research mahotel makubwa wapishi Ni kina Nani alafu Rudi hapa
Kilimanjaro tuna aina zaidi ya 20 ya vyakula, mtori ni asili ya uchagani lakin nchi nzima ukienda utaukuta,nambie chakula Cha kihaya ambacho kimejitangaza nchi nzima Kama ilivyo mtori kwa wachaga
 
Laana unayo wewe na kizazi chako! Kande wewe.....!!! Mimi nakataa mkoa wangu hauna laana!
 
Labda watz wa KATERERO
Nimekwambia fanya research mahotel makubwa wapishi Ni kina Nani alafu Rudi hapa
Kilimanjaro tuna aina zaidi ya 20 ya vyakula, mtori ni asili ya uchagani lakin nchi nzima ukienda utaukuta,nambie chakula Cha kihaya ambacho kimejitangaza nchi nzima Kama ilivyo mtori kwa wachaga
 
Wakuu.
Nimetembelea mikoa mbalimbali katika harakati za kusaka maisha lakini kama mnavofahamu mikoa mingi kuna tamaduni tofauti za mapishi
Kuna mikoa chakula unaweza kula ukaona ladha ya chakula japo ni kwa mama ntilie lakini chakula kitamu na mikoa mingine imejaa laana bin balaa yaani ukila chakula utahisi hadi kuugua homa ya manjano.
A: Mikoa Wanayojitahidi Kupika vizuri
1. Tanga
2. Pwani
3.Lindi
4. Mtwara
5.Dodoma
6. Morogoro
7. Mwanza
8. Kigoma maeneo ya Ujiji
9. Dar Es Salaam.
10. Tabora.
Ifuatayo ni Mikoa yenye laana bin balaa sijui hua wanaloweka au maana chakula asilimia kubwa hakina ladha kabisa.

B:Mikoa hiyo ni Kama Ifuatavo
1. Mara
2.Arusha
3.Manyara
4.Singida
5.Ruvuma
6. Rukwa
7. Katavi
8. Iringa
9. Mbeya
10.Njombe
11.Geita
12. Simiyu
13.Kagera/Bukoba
14. Kilimanjaro.
Huo ni utafiti mdogo kabisa sijui wanatatizo gani

Mkuu utafiti wako wa mikoa inayojua kupika hyo list umeandika in descending order.
Ilitakiwa iwe hvii;
1)Tanga
2)Pwani
3)Morogoro
4)Dar es salaam
5)Lindi
6)Mtwara
7)Dodoma
8)Singida umeionea kuiweka ktk wasiojua kupika.
9)Mwanza
10)Kigoma

TABORA MKUU HAWAJUI KUPIKA KABBISA YAN WALI KM WANAVUNDIKA BHANA.
ETI CHAPATI WANACHANGANYA NA UNGA WA MUOGO.
NA MIHOGO WANAIVIRINGITA KTK NGANO NDIO WANAIKARANGA INAKUA MIGUMU KM NN SIJUI.
NIMEKAA SANA IPULI NA NDEVELWA HAWAJUI KUPIKA.
 
Wanyamwezi wengiwao masuperstar wa kuogea kama chiriku na kufatilia maisha ya watu wanaishije 😀😀
 
Labda watz wa KATERERO
Nimekwambia fanya research mahotel makubwa wapishi Ni kina Nani alafu Rudi hapa
Kilimanjaro tuna aina zaidi ya 20 ya vyakula, mtori ni asili ya uchagani lakin nchi nzima ukienda utaukuta,nambie chakula Cha kihaya ambacho kimejitangaza nchi nzima Kama ilivyo mtori kwa wachaga

Acha kutetea ndugu zako, tangu lini mchagga akajuwa kupika zaidi ya mtori na mbuzi mzima anabanikwa Hari yakuwa hajachinjwa! "Nyamafu"!

Niritegemea vitu viwili ungewasifia ndugu zako ila co upande wa mahunjumati😀

1 pombe za kienyeji/mbege
2 ujambazi
 
Acha kutetea ndugu zako, tangu lini mchagga akajuwa kupika zaidi ya mtori na mbuzi mzima anabanikwa Hari yakuwa hajachinjwa! "Nyamafu"!

Niritegemea vitu viwili ungewasifia ndugu zako ila co upande wa mahunjumati

1 pombe za kienyeji/mbege
2 ujambazi
Umepatia kaka bigup.
Yan nilikua na mke wa baba angu mdogo mchaga akipika wali km kauchemshaa mbayaa yeye anajua kupika ndizi tu na mitori yao na kuchoma nyama tu
 
Na mlikua mnamvumilia
 
Kwanza kwa maelezo hayo umekosea sana, mikoa hutofautina tamaduni na vyakula vyao. Mkoa wa Mara chakula Chao kikuu ni Ugali wa Mtama na Nyama na kwenye wali utakuwa umewaonea maana sio asili yao. Umekosea sana kulinganisha mikoa kwa mikoa ili hali ukijua kila mikoa ina tamaduni zake
Wakuu.
Nimetembelea mikoa mbalimbali katika harakati za kusaka maisha lakini kama mnavofahamu mikoa mingi kuna tamaduni tofauti za mapishi
Kuna mikoa chakula unaweza kula ukaona ladha ya chakula japo ni kwa mama ntilie lakini chakula kitamu na mikoa mingine imejaa laana bin balaa yaani ukila chakula utahisi hadi kuugua homa ya manjano.
A: Mikoa Wanayojitahidi Kupika vizuri
1. Tanga
2. Pwani
3.Lindi
4. Mtwara
5.Dodoma
6. Morogoro
7. Mwanza
8. Kigoma maeneo ya Ujiji
9. Dar Es Salaam.
10. Tabora.
Ifuatayo ni Mikoa yenye laana bin balaa sijui hua wanaloweka au maana chakula asilimia kubwa hakina ladha kabisa.

B:Mikoa hiyo ni Kama Ifuatavo
1. Mara
2.Arusha
3.Manyara
4.Singida
5.Ruvuma
6. Rukwa
7. Katavi
8. Iringa
9. Mbeya
10.Njombe
11.Geita
12. Simiyu
13.Kagera/Bukoba
14. Kilimanjaro.
Huo ni utafiti mdogo kabisa sijui wanatatizo gani
 
Acha kutetea ndugu zako, tangu lini mchagga akajuwa kupika zaidi ya mtori na mbuzi mzima anabanikwa Hari yakuwa hajachinjwa! "Nyamafu"!

Niritegemea vitu viwili ungewasifia ndugu zako ila co upande wa mahunjumati

1 pombe za kienyeji/mbege
2 ujambazi
1:Ushamba mwingine bhana kwahyo hujui ndafu wa kubanikwa kwa mkaa? Ama kweli tz tuna washamba wengi sikulaumu manake kwenu chakula ni ugali tu huwez jua vingine
2:ujambazi ni ujambazi gani wa kusoma kwa bidii au maendeleo yaliyotukuka?
3:mbege,Hakuna pombe ya asili tz yenye hadhi ya mbege hata Mimi nikija ulaya nakujaga na mbege tunainywa na wazungu hapa,mbege Ni pombe inayotengenezwa kwa usafi wa Hali ya juu(si unajua wachaga walivyo wasafi?) Na materials yake Ni ulezi,maji,na ndizi mbivu tu
 
Sasa kama unakula ugali na vyama choma ndani yake Kuna kichuli unafikiri hapo utafanya utafiti ukilinganisha vyakula gani
 
1:Ushamba mwingine bhana kwahyo hujui ndafu wa kubanikwa kwa mkaa? Ama kweli tz tuna washamba wengi sikulaumu manake kwenu chakula ni ugali tu huwez jua vingine
2:ujambazi ni ujambazi gani wa kusoma kwa bidii au maendeleo yaliyotukuka?
3:mbege,Hakuna pombe ya asili tz yenye hadhi ya mbege hata Mimi nikija ulaya nakujaga na mbege tunainywa na wazungu hapa,mbege Ni pombe inayotengenezwa kwa usafi wa Hali ya juu(si unajua wachaga walivyo wasafi?) Na materials yake Ni ulezi,maji,na ndizi mbivu tu
Swala la ujambazi wachaga wengi majambaz bhanaa hilo halipingiki.
 
1:Ushamba mwingine bhana kwahyo hujui ndafu wa kubanikwa kwa mkaa? Ama kweli tz tuna washamba wengi sikulaumu manake kwenu chakula ni ugali tu huwez jua vingine
2:ujambazi ni ujambazi gani wa kusoma kwa bidii au maendeleo yaliyotukuka?
3:mbege,Hakuna pombe ya asili tz yenye hadhi ya mbege hata Mimi nikija ulaya nakujaga na mbege tunainywa na wazungu hapa,mbege Ni pombe inayotengenezwa kwa usafi wa Hali ya juu(si unajua wachaga walivyo wasafi?) Na materials yake Ni ulezi,maji,na ndizi mbivu tu
Luambo acha ku2ingiza mujini bwana😀 wachagga hawafui dafu ata kwa wasukuma.

Alafu bwana luambo nigeie siri ya ndugu zako wengiwao hawana makalio alafu miguu spoku. I mean "KE"
 
Back
Top Bottom