Mikoa 6 yatabiriwa kupata Mvua kubwa kwa siku 3

Hao jama ni wapiga ramli, kuchukua tahadhari kutokana na ushauri wao ni kupoteza muda na rasilimali
Hahaha sawa mzee baba

Ndiyo ushapewa tahadhari

Ushaambiwa,utabiri wa hali ya hewa

Ova
 
Mbona inanyesha kwenye mikoa ya Waswahili Swahili wavivu wasiolima sana?

Inyeshe Mbeya, Iringa, Rukwa na mikoa mingine inayotulisha

Moro sawa
 
Back
Top Bottom