Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 10,121
- 19,698
Umati hauto mtakatisha gaidi
Tusubirie mahakama mkuu, huo ndiyo utawala wa sheria mnaoupigania kila sikuHata kukimbilia hapa kuweka comment yako Ni wazi Mbowe Ni Special
Atakula miaka 10, halafu nendeni ubalozini mkashtaki wasitoe misaada hahaha! Dhambi ya kumsaliti Slaa haitowaachaHata kukimbilia hapa kuweka comment yako Ni wazi Mbowe Ni Special
Kwani umeambiwa Wanakuja Watu wa Mkoa mzima Je kila Mkoa ukitoa Mtu mmoja?Wakati vingine Tumia hata Akili za jirani yakoCorona hairuhusu misongamano bwashee!
Hapana, kwenye mstari wako huo wa mwisho.Hehehehehehe siasa za Tanzania leo mnampigania mwanasiasa fulan watu wanapata ulemavu wanakufa dakika ya mwisho mwanasiasa huyohuyo anaishia kuunga juhudi
All in all kila kheri kamanda mbowe watanzania wanakusaliti sana ingekua nchi zingine sitaki kusema ingekuwaje
Malaya mamako mzazi ndio mana hata baba yako humjuiMalaya wa kisiasa kama wewe huu Uzi hauwahusu!Endelea na safari yako
Kubambikia ni zaidi ya koronaMida hii ya Covid 19??
Kuweni serious kidogo
Kesi ya kubambikizwa Ugaidi Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe inatarajiwa kutajwa Alhamisi August 5 Kisutu jijini DSM.
Akizungumza na wanahabari jana Jumamosi Katibu Mkuu John Mnyika aliwataka wana Chadema na wananchi kufurika Kisutu siku ya Alhamisi August 5 ili kufuatilia kwa ukaribu kesi hiyo na kuonyesha mshikamano kwa Mwenyekiti Freeman Mbowe.
Mpaka Leo saa 5 Asubuhi taarifa kutoka makao makuu ya Chadema zinasema tayari mikoa 20 ya Tanzania imethibitisha kutuma wanachama kwa gharama zao kuhudhuria kesi hiyo.
Kesi hiyo inayolaaniwa kote duniani kutokana na hila za kisiasa kumnyamazisha Freeman Mbowe inaonekana kuvuta hisia za kila mpenda haki.
Hali inavyoonekana huenda zaidi ya watu elfu 5 wakahudhuria kesi hiyo kitendo ambacho kitazidi kuvuta hisia za Dunia.
Vyombo kadhaa vikubwa vya Habari Duniani Kama BBC, CNN, DW, Aljazeera, na VOA vimekuwa vikifuatilia na kutangaza Mara kwa Mara habari hizi za uonevu wa dola dhidi ya Mbowe.
Freeman Mbowe alibambikwa kesi ya Ugaidi ili kumdhibiti kutokana na kampeni yake ya kudai Katiba Mpya.Jambo lililo wazi ni kwamba kila mtu ndani na nje ya nchi anaelewa kesi hii ni ya uongo na isiyo na maana yoyote yenye Lengo la kumdhibiti Demokrasia nchini.
Inasikitisha sanaTANZANIA kama Afrika kusini kipindi cha makaburu
Kama Chatu akimkamata Baba au mama yako, mtaacha kwenda kumwokoa kwa sababu mkienda mtakaribiana na kuambukizana corona.Mnyika ana mambo ya kizamani sana
Mafuriko hayaachii mtuhumiwa
Hao ndio chadema waliopiga kelele corona ipo,leo KM anahimiza watu wakajazane mahakamani
Hamna lolote, hakuna watu wanafiki kama wateja wa hiyo saccos ya Mbowe.Kesi ya kubambikizwa Ugaidi Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe inatarajiwa kutajwa Alhamisi August 5 Kisutu jijini DSM.
Akizungumza na wanahabari jana Jumamosi Katibu Mkuu John Mnyika aliwataka wana Chadema na wananchi kufurika Kisutu siku ya Alhamisi August 5 ili kufuatilia kwa ukaribu kesi hiyo na kuonyesha mshikamano kwa Mwenyekiti Freeman Mbowe.
Mpaka Leo saa 5 Asubuhi taarifa kutoka makao makuu ya Chadema zinasema tayari mikoa 20 ya Tanzania imethibitisha kutuma wanachama kwa gharama zao kuhudhuria kesi hiyo.
Kesi hiyo inayolaaniwa kote duniani kutokana na hila za kisiasa kumnyamazisha Freeman Mbowe inaonekana kuvuta hisia za kila mpenda haki.
Hali inavyoonekana huenda zaidi ya watu elfu 5 wakahudhuria kesi hiyo kitendo ambacho kitazidi kuvuta hisia za Dunia.
Vyombo kadhaa vikubwa vya Habari Duniani Kama BBC, CNN, DW, Aljazeera, na VOA vimekuwa vikifuatilia na kutangaza Mara kwa Mara habari hizi za uonevu wa dola dhidi ya Mbowe.
Freeman Mbowe alibambikwa kesi ya Ugaidi ili kumdhibiti kutokana na kampeni yake ya kudai Katiba Mpya.Jambo lililo wazi ni kwamba kila mtu ndani na nje ya nchi anaelewa kesi hii ni ya uongo na isiyo na maana yoyote yenye Lengo la kumdhibiti Demokrasia nchini.
Hivi hata kama tungekuwa na Rais wakijinga kama wew, je ungeweza kuweka lockdown nchi kama Tz?Tatizo ni hilo tu.
Wakati wa Magufuli CHADEMA hao hao walitaka Lockdown.
Sasa hivi wanalilia kukusanyika.
Foolish.
Ccm bhana, unaweza kuta wanakulipa kwa comments zako kama hiziAtakula miaka 10, halafu nendeni ubalozini mkashtaki wasitoe misaada hahaha! Dhambi ya kumsaliti Slaa haitowaacha
Mi nawashuri msiache kuvaa barakoa na kukaa umbali wa mita moja au zaidi. Maji tiririka ni muhimu.Kesi ya kubambikizwa Ugaidi Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe inatarajiwa kutajwa Alhamisi August 5 Kisutu jijini DSM.