Mikoa 20 yathibitisha kuhudhuria kesi ya Mbowe Kisutu Agosti 5, 2021

Corona hairuhusu misongamano bwashee!
Kwani umeambiwa Wanakuja Watu wa Mkoa mzima Je kila Mkoa ukitoa Mtu mmoja?Wakati vingine Tumia hata Akili za jirani yako
20210716_160047.jpg
 
Hehehehehehe siasa za Tanzania leo mnampigania mwanasiasa fulan watu wanapata ulemavu wanakufa dakika ya mwisho mwanasiasa huyohuyo anaishia kuunga juhudi

All in all kila kheri kamanda mbowe watanzania wanakusaliti sana ingekua nchi zingine sitaki kusema ingekuwaje
Hapana, kwenye mstari wako huo wa mwisho.

Sema huwajui vizuri waTanzania kama ulikuwa unategemea hayo ya nchi zingine.

Sasa subiri uone wao wanavyofanya mambo yao tofauti na hao wengine.
 
Nadhani Chadema wasimwangushe Mbowe wasubiri mpaka watanzania wote tuchanjwe kama Freemani anavyotaka yeye na mama, na mpaka Askofu Gwajima na wenzake pia wachanjwe ndiyo mtaruhusiwa kukusanyika mahakamani muwe wavumilivu tu. Kumpiga mboe ni jambo baya sana nikama kutafuta laana.
 
Itapendeza
Kesi ya kubambikizwa Ugaidi Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe inatarajiwa kutajwa Alhamisi August 5 Kisutu jijini DSM.

Akizungumza na wanahabari jana Jumamosi Katibu Mkuu John Mnyika aliwataka wana Chadema na wananchi kufurika Kisutu siku ya Alhamisi August 5 ili kufuatilia kwa ukaribu kesi hiyo na kuonyesha mshikamano kwa Mwenyekiti Freeman Mbowe.

Mpaka Leo saa 5 Asubuhi taarifa kutoka makao makuu ya Chadema zinasema tayari mikoa 20 ya Tanzania imethibitisha kutuma wanachama kwa gharama zao kuhudhuria kesi hiyo.

Kesi hiyo inayolaaniwa kote duniani kutokana na hila za kisiasa kumnyamazisha Freeman Mbowe inaonekana kuvuta hisia za kila mpenda haki.

Hali inavyoonekana huenda zaidi ya watu elfu 5 wakahudhuria kesi hiyo kitendo ambacho kitazidi kuvuta hisia za Dunia.

Vyombo kadhaa vikubwa vya Habari Duniani Kama BBC, CNN, DW, Aljazeera, na VOA vimekuwa vikifuatilia na kutangaza Mara kwa Mara habari hizi za uonevu wa dola dhidi ya Mbowe.

Freeman Mbowe alibambikwa kesi ya Ugaidi ili kumdhibiti kutokana na kampeni yake ya kudai Katiba Mpya.Jambo lililo wazi ni kwamba kila mtu ndani na nje ya nchi anaelewa kesi hii ni ya uongo na isiyo na maana yoyote yenye Lengo la kumdhibiti Demokrasia nchini.
 
CCM ni watu wa kujiaibisha aibisha kila kukicha kwa mataifa - eti GAIDI....hivi hawa jamaa wana hamu ya magaidi eee...!!
 
Mnyika ana mambo ya kizamani sana
Mafuriko hayaachii mtuhumiwa
Hao ndio chadema waliopiga kelele corona ipo,leo KM anahimiza watu wakajazane mahakamani
Kama Chatu akimkamata Baba au mama yako, mtaacha kwenda kumwokoa kwa sababu mkienda mtakaribiana na kuambukizana corona.

Serikali hii na CCM kwa ujumla, madhara yake kwa wananchi ni zaidi ya madhara yanayosababishwa na corona.

Tuungane tumkabili chatu mla watu na mtesa watu.
 
Kesi ya kubambikizwa Ugaidi Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe inatarajiwa kutajwa Alhamisi August 5 Kisutu jijini DSM.

Akizungumza na wanahabari jana Jumamosi Katibu Mkuu John Mnyika aliwataka wana Chadema na wananchi kufurika Kisutu siku ya Alhamisi August 5 ili kufuatilia kwa ukaribu kesi hiyo na kuonyesha mshikamano kwa Mwenyekiti Freeman Mbowe.

Mpaka Leo saa 5 Asubuhi taarifa kutoka makao makuu ya Chadema zinasema tayari mikoa 20 ya Tanzania imethibitisha kutuma wanachama kwa gharama zao kuhudhuria kesi hiyo.

Kesi hiyo inayolaaniwa kote duniani kutokana na hila za kisiasa kumnyamazisha Freeman Mbowe inaonekana kuvuta hisia za kila mpenda haki.

Hali inavyoonekana huenda zaidi ya watu elfu 5 wakahudhuria kesi hiyo kitendo ambacho kitazidi kuvuta hisia za Dunia.

Vyombo kadhaa vikubwa vya Habari Duniani Kama BBC, CNN, DW, Aljazeera, na VOA vimekuwa vikifuatilia na kutangaza Mara kwa Mara habari hizi za uonevu wa dola dhidi ya Mbowe.

Freeman Mbowe alibambikwa kesi ya Ugaidi ili kumdhibiti kutokana na kampeni yake ya kudai Katiba Mpya.Jambo lililo wazi ni kwamba kila mtu ndani na nje ya nchi anaelewa kesi hii ni ya uongo na isiyo na maana yoyote yenye Lengo la kumdhibiti Demokrasia nchini.
Hamna lolote, hakuna watu wanafiki kama wateja wa hiyo saccos ya Mbowe.
 
naisubiri kwa hamu barua ya zuio la mikusanyiko kutoka Jeshi la Polisi,PATAMU HAPO.
 
Tatizo ni hilo tu.

Wakati wa Magufuli CHADEMA hao hao walitaka Lockdown.

Sasa hivi wanalilia kukusanyika.

Foolish.
Hivi hata kama tungekuwa na Rais wakijinga kama wew, je ungeweza kuweka lockdown nchi kama Tz?
 
Kesi ya kubambikizwa Ugaidi Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe inatarajiwa kutajwa Alhamisi August 5 Kisutu jijini DSM.

Akizungumza na wanahabari jana Jumamosi Katibu Mkuu John Mnyika aliwataka wana Chadema na wananchi kufurika Kisutu siku ya Alhamisi August 5 ili kufuatilia kwa ukaribu kesi hiyo na kuonyesha mshikamano kwa Mwenyekiti Freeman Mbowe.

Mpaka Leo saa 5 Asubuhi taarifa kutoka makao makuu ya Chadema zinasema tayari mikoa 20 ya Tanzania imethibitisha kutuma wanachama kwa gharama zao kuhudhuria kesi hiyo.

Kesi hiyo inayolaaniwa kote duniani kutokana na hila za kisiasa kumnyamazisha Freeman Mbowe inaonekana kuvuta hisia za kila mpenda haki.

Hali inavyoonekana huenda zaidi ya watu elfu 5 wakahudhuria kesi hiyo kitendo ambacho kitazidi kuvuta hisia za Dunia.

Vyombo kadhaa vikubwa vya Habari Duniani Kama BBC, CNN, DW, Aljazeera, na VOA vimekuwa vikifuatilia na kutangaza Mara kwa Mara habari hizi za uonevu wa dola dhidi ya Mbowe.

Freeman Mbowe alibambikwa kesi ya Ugaidi ili kumdhibiti kutokana na kampeni yake ya kudai Katiba Mpya.Jambo lililo wazi ni kwamba kila mtu ndani na nje ya nchi anaelewa kesi hii ni ya uongo na isiyo na maana yoyote yenye Lengo la kumdhibiti Demokrasia nchini.
Mi nawashuri msiache kuvaa barakoa na kukaa umbali wa mita moja au zaidi. Maji tiririka ni muhimu.
 
Back
Top Bottom