Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 22,750
- 19,985
Mkuu umepotea sana karibu tunaendeleza MAPAMBANOMbona mechi ya Simba sc na Utopolo watu nyomi hatukuona hilo zuio

Siasa za bongo utasikia wamesogeza mbele kesi. Nilishasema serikali wamefanya makosa makubwa kumshitaki Mbowe
Ila kwenye kuunga juhudi umenikumbusha mbali sana, unamsikiliza mtu hadi anatoa mapovu mdomoni kesho yake kaunga juhudi duuu!Hehehehehehe siasa za Tanzania leo mnampigania mwanasiasa fulan watu wanapata ulemavu wanakufa dakika ya mwisho mwanasiasa huyohuyo anaishia kuunga juhudi
All in all kila kheri kamanda mbowe watanzania wanakusaliti sana ingekua nchi zingine sitaki kusema ingekuwaje
Mkuu, wakiwa serious unitag 😂😂Mida hii ya Covid 19??
Kuweni serious kidogo
Iliondoka kwa " maombi"Mida hii ya Covid 19??
Kuweni serious kidogo
Kwa uzoefu wangu hiyo kesi itafanyiwa kwa video conference kati ya Mahakama ya Kisutu na Gereza la Ukonga. Mbowe hawezi kuletwa Mahakamani kwenye kipindi hiki cha COVID 19.Kesi ya kubambikizwa Ugaidi Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe inatarajiwa kutajwa Alhamisi August 5 Kisutu jijini DSM.
Akizungumza na wanahabari jana Jumamosi Katibu Mkuu John Mnyika aliwataka wana Chadema na wananchi kufurika Kisutu siku ya Alhamisi August 5 ili kufuatilia kwa ukaribu kesi hiyo na kuonyesha mshikamano kwa Mwenyekiti Freeman Mbowe.
Mpaka Leo saa 5 Asubuhi taarifa kutoka makao makuu ya Chadema zinasema tayari mikoa 20 ya Tanzania imethibitisha kutuma wanachama kwa gharama zao kuhudhuria kesi hiyo.
Kesi hiyo inayolaaniwa kote duniani kutokana na hila za kisiasa kumnyamazisha Freeman Mbowe inaonekana kuvuta hisia za kila mpenda haki.
Hali inavyoonekana huenda zaidi ya watu elfu 5 wakahudhuria kesi hiyo kitendo ambacho kitazidi kuvuta hisia za Dunia.
Vyombo kadhaa vikubwa vya Habari Duniani Kama BBC, CNN, DW, Aljazeera, na VOA vimekuwa vikifuatilia na kutangaza Mara kwa Mara habari hizi za uonevu wa dola dhidi ya Mbowe.
Freeman Mbowe alibambikwa kesi ya Ugaidi ili kumdhibiti kutokana na kampeni yake ya kudai Katiba Mpya.Jambo lililo wazi ni kwamba kila mtu ndani na nje ya nchi anaelewa kesi hii ni ya uongo na isiyo na maana yoyote yenye Lengo la kumdhibiti Demokrasia nchini.
Si inasemekana itakuwa kwa video?Kesi ya kubambikizwa Ugaidi Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe inatarajiwa kutajwa Alhamisi August 5 Kisutu jijini DSM.
Akizungumza na wanahabari jana Jumamosi Katibu Mkuu John Mnyika aliwataka wana Chadema na wananchi kufurika Kisutu siku ya Alhamisi August 5 ili kufuatilia kwa ukaribu kesi hiyo na kuonyesha mshikamano kwa Mwenyekiti Freeman Mbowe.
Mpaka Leo saa 5 Asubuhi taarifa kutoka makao makuu ya Chadema zinasema tayari mikoa 20 ya Tanzania imethibitisha kutuma wanachama kwa gharama zao kuhudhuria kesi hiyo.
Kesi hiyo inayolaaniwa kote duniani kutokana na hila za kisiasa kumnyamazisha Freeman Mbowe inaonekana kuvuta hisia za kila mpenda haki.
Hali inavyoonekana huenda zaidi ya watu elfu 5 wakahudhuria kesi hiyo kitendo ambacho kitazidi kuvuta hisia za Dunia.
Vyombo kadhaa vikubwa vya Habari Duniani Kama BBC, CNN, DW, Aljazeera, na VOA vimekuwa vikifuatilia na kutangaza Mara kwa Mara habari hizi za uonevu wa dola dhidi ya Mbowe.
Freeman Mbowe alibambikwa kesi ya Ugaidi ili kumdhibiti kutokana na kampeni yake ya kudai Katiba Mpya.Jambo lililo wazi ni kwamba kila mtu ndani na nje ya nchi anaelewa kesi hii ni ya uongo na isiyo na maana yoyote yenye Lengo la kumdhibiti Demokrasia nchini.
Hataletwa sio kwa sababu ya Covid19. Wanajua akiletwa atawasababishia matatizo ya control umma.Kwa uzoefu wangu hiyo kesi itafanyiwa kwa video conference kati ya Mahakama ya Kisutu na Gereza la Ukonga. Mbowe hawezi kuletwa Mahakamani kwenye kipindi hiki cha COVID 19.
Wana CDM tulieni mikoani msiharibu nauli zenu, mtanishukuru baadaye
Tatizo lako ni uelewa mdogo.Leo kuna Mechi za Kagame cup, Yanga ipo uwanjani na mashabiki tunajazana kama kawaida. Hiyo Covid ni kwa Mbowe tu?
😂😂😂Kesi ya kubambikizwa Ugaidi Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe inatarajiwa kutajwa Alhamisi August 5 Kisutu jijini DSM.
Akizungumza na wanahabari jana Jumamosi Katibu Mkuu John Mnyika aliwataka wana Chadema na wananchi kufurika Kisutu siku ya Alhamisi August 5 ili kufuatilia kwa ukaribu kesi hiyo na kuonyesha mshikamano kwa Mwenyekiti Freeman Mbowe.
Mpaka Leo saa 5 Asubuhi taarifa kutoka makao makuu ya Chadema zinasema tayari mikoa 20 ya Tanzania imethibitisha kutuma wanachama kwa gharama zao kuhudhuria kesi hiyo.
Kesi hiyo inayolaaniwa kote duniani kutokana na hila za kisiasa kumnyamazisha Freeman Mbowe inaonekana kuvuta hisia za kila mpenda haki.
Hali inavyoonekana huenda zaidi ya watu elfu 5 wakahudhuria kesi hiyo kitendo ambacho kitazidi kuvuta hisia za Dunia.
Vyombo kadhaa vikubwa vya Habari Duniani Kama BBC, CNN, DW, Aljazeera, na VOA vimekuwa vikifuatilia na kutangaza Mara kwa Mara habari hizi za uonevu wa dola dhidi ya Mbowe.
Freeman Mbowe alibambikwa kesi ya Ugaidi ili kumdhibiti kutokana na kampeni yake ya kudai Katiba Mpya.Jambo lililo wazi ni kwamba kila mtu ndani na nje ya nchi anaelewa kesi hii ni ya uongo na isiyo na maana yoyote yenye Lengo la kumdhibiti Demokrasia nchini.
Laa mama anaupiga mwingi.Kesi ya kubambikizwa Ugaidi Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe inatarajiwa kutajwa Alhamisi August 5 Kisutu jijini DSM.
Akizungumza na wanahabari jana Jumamosi Katibu Mkuu John Mnyika aliwataka wana Chadema na wananchi kufurika Kisutu siku ya Alhamisi August 5 ili kufuatilia kwa ukaribu kesi hiyo na kuonyesha mshikamano kwa Mwenyekiti Freeman Mbowe.
Mpaka Leo saa 5 Asubuhi taarifa kutoka makao makuu ya Chadema zinasema tayari mikoa 20 ya Tanzania imethibitisha kutuma wanachama kwa gharama zao kuhudhuria kesi hiyo.
Kesi hiyo inayolaaniwa kote duniani kutokana na hila za kisiasa kumnyamazisha Freeman Mbowe inaonekana kuvuta hisia za kila mpenda haki.
Hali inavyoonekana huenda zaidi ya watu elfu 5 wakahudhuria kesi hiyo kitendo ambacho kitazidi kuvuta hisia za Dunia.
Vyombo kadhaa vikubwa vya Habari Duniani Kama BBC, CNN, DW, Aljazeera, na VOA vimekuwa vikifuatilia na kutangaza Mara kwa Mara habari hizi za uonevu wa dola dhidi ya Mbowe.
Freeman Mbowe alibambikwa kesi ya Ugaidi ili kumdhibiti kutokana na kampeni yake ya kudai Katiba Mpya.Jambo lililo wazi ni kwamba kila mtu ndani na nje ya nchi anaelewa kesi hii ni ya uongo na isiyo na maana yoyote yenye Lengo la kumdhibiti Demokrasia nchini.
Hongera wapenda haki wote!Kesi ya kubambikizwa Ugaidi Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe inatarajiwa kutajwa Alhamisi August 5 Kisutu jijini DSM.
Akizungumza na wanahabari jana Jumamosi Katibu Mkuu John Mnyika aliwataka wana Chadema na wananchi kufurika Kisutu siku ya Alhamisi August 5 ili kufuatilia kwa ukaribu kesi hiyo na kuonyesha mshikamano kwa Mwenyekiti Freeman Mbowe.
Mpaka Leo saa 5 Asubuhi taarifa kutoka makao makuu ya Chadema zinasema tayari mikoa 20 ya Tanzania imethibitisha kutuma wanachama kwa gharama zao kuhudhuria kesi hiyo.
Kesi hiyo inayolaaniwa kote duniani kutokana na hila za kisiasa kumnyamazisha Freeman Mbowe inaonekana kuvuta hisia za kila mpenda haki.
Hali inavyoonekana huenda zaidi ya watu elfu 5 wakahudhuria kesi hiyo kitendo ambacho kitazidi kuvuta hisia za Dunia.
Vyombo kadhaa vikubwa vya Habari Duniani Kama BBC, CNN, DW, Aljazeera, na VOA vimekuwa vikifuatilia na kutangaza Mara kwa Mara habari hizi za uonevu wa dola dhidi ya Mbowe.
Freeman Mbowe alibambikwa kesi ya Ugaidi ili kumdhibiti kutokana na kampeni yake ya kudai Katiba Mpya.Jambo lililo wazi ni kwamba kila mtu ndani na nje ya nchi anaelewa kesi hii ni ya uongo na isiyo na maana yoyote yenye Lengo la kumdhibiti Demokrasia nchini.
Hiyo ni kawaida, hata wewe unayempigania mwanasiasa fulani leo, kesho una haki ya kuunga mkono juhudi pia ukitakaHehehehehehe siasa za Tanzania leo mnampigania mwanasiasa fulan watu wanapata ulemavu wanakufa dakika ya mwisho mwanasiasa huyohuyo anaishia kuunga juhudi
All in all kila kheri kamanda mbowe watanzania wanakusaliti sana ingekua nchi zingine sitaki kusema ingekuwaje
Nipo sana kamanda wangu...Mkuu umepotea sana karibu tunaendeleza MAPAMBANO
johnthebaptist njoo ujibu hapa. Halafu nakushauri punguza unafiki.Lakini kupokea ndege airport huwa Covid regulations zinalegezwa kidogo au kusahaulika.
Hujielewi hata unaandika Nini?Mkuu,kama una akili uelewe basi.
Nchi inakumbwa na Corona.
Watu wanataka kukusanyika, halafu unakuja na hoja eti mbona CCM wanakusanyika.
Wakati wa Magufuli anasema Corona haipo Tanzania si hao hao CHADEMA walisema nchi iwekwe'lockdown'??
Au CORONA hii ya sasa haina madhara?
Mungu wa mbinguni siku zote atatukuzwa na shetani kuzidi kulaaniwaArusha costa za kutosha zimejaa tayari kwa safari...
Hata kukimbilia hapa kuweka comment yako Ni wazi Mbowe Ni SpecialMbowe atashitakiwa kama mtanzania yeyote, hana uspesho wowote
Malaya wa kisiasa kama wewe huu Uzi hauwahusu!Endelea na safari yakoMnyika ana mambo ya kizamani sana
Mafuriko hayaachii mtuhumiwa
Hao ndio chadema waliopiga kelele corona ipo,leo KM anahimiza watu wakajazane mahakamani