Huyu mrusi ndiye designer wa bunduki maarufu duniani kwa jina la AK-47 ambalo pia limetokana na jina lake (Avtomat Kalanishkova)
Kuunda silaha ya kutoa uhai wa mwanadamu mwenzako ndo sifa,
Ugunduzi wake umesababisha mamilioni ya vifo vya watu, yatima na wajane na kuvuruga hali za maisha ya watu kwa kiasi cha kutisha,
Mwasisi wa Noble Prize alijuta kwa kutengeneza silaha mpaka akaanzisha tuzo inayotolewa kwa wapigania amani.
sidhani kama wakati
anagundua bunduki hii alikuwa na maana itumike kwa makusudi mabaya
alitaka itumike kulinda na kutunza amani ni kama aliyebuni ndege alitaka
itumike kwa usafiri lakini watu wakaigeuza itumike kudondosha mabomu
makubwa na mazito.
me nadhani jamaa alifanya jambo la maana tu ila watu ndiyo wanaitumia
vibaya hata mapanga na visu vinatumika vibaya pia kama demokrasia
inavotumika vibaya pia.
my take
kila kitu ni kibaya kama utakitumia vibaya.
Huyu mrusi ndiye designer wa bunduki maarufu duniani kwa jina la AK-47 ambalo pia limetokana na jina lake (Avtomat Kalanishkova)
Kama Sikosei Hii Bunduki Ndo Inaongoza Kwa Ku ua watu Afrikaa..