Mikhail kalanishkov has died today at the age of 94

mngony

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
5,188
6,350
Huyu mrusi ndiye designer wa bunduki maarufu duniani kwa jina la AK-47 ambalo pia limetokana na jina lake (Avtomat Kalashnikova)
 
Kuunda silaha ya kutoa uhai wa mwanadamu mwenzako ndo sifa,

Ugunduzi wake umesababisha mamilioni ya vifo vya watu, yatima na wajane na kuvuruga hali za maisha ya watu kwa kiasi cha kutisha,

Mwasisi wa Noble Prize alijuta kwa kutengeneza silaha mpaka akaanzisha tuzo inayotolewa kwa wapigania amani.
 
sidhani kama wakati anagundua bunduki hii alikuwa na maana itumike kwa makusudi mabaya alitaka itumike kulinda na kutunza amani ni kama aliyebuni ndege alitaka itumike kwa usafiri lakini watu wakaigeuza itumike kudondosha mabomu makubwa na mazito.

me nadhani jamaa alifanya jambo la maana tu ila watu ndiyo wanaitumia vibaya hata mapanga na visu vinatumika vibaya pia kama demokrasia inavotumika vibaya pia.

my take
kila kitu ni kibaya kama utakitumia vibaya.
 
Alishajutia sana hata yeye,nilisoma article moja wakati wa miaka mia tangu vita vya kwanza vya dunia. Alihojiwa akawa anajutia kwa nini alivumbua AK 47.
 
Huyu mrusi ndiye designer wa bunduki maarufu duniani kwa jina la AK-47 ambalo pia limetokana na jina lake (Avtomat Kalanishkova)

"Avtomat Kalashnikova" ndio jina la bunduki yenyewe au kwa kifupi "AK" . Mvumbuzi anaitwa "Mikhail Kalashinikov"
 
Kuunda silaha ya kutoa uhai wa mwanadamu mwenzako ndo sifa,

Ugunduzi wake umesababisha mamilioni ya vifo vya watu, yatima na wajane na kuvuruga hali za maisha ya watu kwa kiasi cha kutisha,

Mwasisi wa Noble Prize alijuta kwa kutengeneza silaha mpaka akaanzisha tuzo inayotolewa kwa wapigania amani.

Wacha kupiga mayoe wewe. Ugunduzi wake unafanya kazi nzuri sana kama hujui waulize al qaeda, al shabab, hamas, al nursa, boko haram na taliban. Kama hujajua faida ya ugunduzi wake wew hujajitambua.
 
sidhani kama wakati
anagundua bunduki hii alikuwa na maana itumike kwa makusudi mabaya
alitaka itumike kulinda na kutunza amani ni kama aliyebuni ndege alitaka
itumike kwa usafiri lakini watu wakaigeuza itumike kudondosha mabomu
makubwa na mazito.

me nadhani jamaa alifanya jambo la maana tu ila watu ndiyo wanaitumia
vibaya hata mapanga na visu vinatumika vibaya pia kama demokrasia
inavotumika vibaya pia.

my take
kila kitu ni kibaya kama utakitumia vibaya.

una akil mingi sana
 
Huyu mrusi ndiye designer wa bunduki maarufu duniani kwa jina la AK-47 ambalo pia limetokana na jina lake (Avtomat Kalanishkova)

R.I Hell, nikikumbuka vile vidume vinne tu, vilivyovamia westgate shopping mall na kuua mamia kwa kutumia bunduki za AK 47, nachoka kabisaaa!
 
Kama Sikosei Hii Bunduki Ndo Inaongoza Kwa Ku ua watu Afrikaa..

Ndio maana yake..

Lakini mwisho wa siku lazima tujifunze jambo..

Ametengeneza Bunduki na imeua watu wengi lakini hata yeye hakuishi milele
mwisho wa siku na yeye atakua ameacha mjane, watoto na wajukuu.

The interconnected theory apply. we are all human being sharing same problems in the same planet.
 
"Avtomat Kalashnikova" ndio jina la bunduki yenyewe au kwa kifupi "AK" . Mvumbuzi anaitwa "Mikhail Kalashinikov"

thanks, yani hata sikugudundua, ila na wewe kidogo nikurekebishe ni Kalashnikov and not kalashinikov
 
We vipi mbona mqlaria inaua? Au kibaka akigonga hicho kigeto chako utakimbilia kisu au rungu but u wish ungekuwa na AK 47
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom