Mikel Arteta apewa mechi 5 tu kabla hajatimuliwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
91,042
2,000
Taarifa kutoka bodi ya Wakurugenzi ya Arsenal inasema kwamba Kocha mbovu wa timu hiyo Arteta amepewa mechi 5 tu za kuthibitisha ubora wake kabla hajatupiwa mfuko wake wa Rambo.

Hii maana yake mwisho wake ni october 2021 , ambapo Antonio Conte anatajwa kuchukua nafasi yake

Daily Telegraph.
 
Mc Tilly Chizenga

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
4,631
2,000
Taarifa kutoka bodi ya Wakurugenzi ya Arsenal inasema kwamba Kocha mbovu wa timu hiyo Arteta amepewa mechi 5 tu za kuthibitisha ubora wake kabla hajatupiwa mfuko wake wa Rambo.

Hii maana yake mwisho wake ni october 2021 , ambapo Antonio Conte anatajwa kuchukua nafasi yake

Daily Telegraph.
Tano kuanzia Leo au toka ligi ianze?kama toka ligi ianze ni kama kapewa mechi mbili 2 tu yaani hizo zitakazokuja baada ya kipigo cha city
 
playboy babu

JF-Expert Member
Nov 12, 2015
2,598
2,000
Taarifa kutoka bodi ya Wakurugenzi ya Arsenal inasema kwamba Kocha mbovu wa timu hiyo Arteta amepewa mechi 5 tu za kuthibitisha ubora wake kabla hajatupiwa mfuko wake wa Rambo.

Hii maana yake mwisho wake ni october 2021 , ambapo Antonio Conte anatajwa kuchukua nafasi yake

Daily Telegraph.
Me Arsenal nataka TUPIGWE ZOTE huyo mtoto aondoke wanatuletea utoto mtu katoka kuwa kocha msaidizi, tunampa timu kizembe tu halafu wanatuletea usenge na si Arteta tu hata KREONKE nae msenge tu anatuletea ubahili wa kipuuzi hela ya kumsajili mchezaji mmoja wa man city ndo anatoa ya usajili wa Msimu mzima makalio yake.
 
Anonymous Caller

JF-Expert Member
Sep 8, 2016
305
500
Watoe hela walete watu sio wanamtwisha mzigo mzito tu.
Arsenal hali aliyonayo sijui atashinda mechi gani.
hakana kitu hako ka kocha.
arsnal walicheza kamari kumleta huyo.

Hakuwahi kuwa head coach popote..

Uongozi wa timu umekang'ang'ania kweli.
na hapo ni kwasab wanahofia reaction ya mashabiki wanaohudhuria.

Ingekuwa bado mashabiki wa arsenal hawapati fursa ya kufika uwanjani, wangekahold
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom