Mikeka ya walioitwaa interview TRA na TPA vipi imeshatoka?

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Aug 8, 2021
603
1,000
.it handles large vessels due to large area( unaweza danganya over 2500 acres )

. Availability of good infrastructure. e.g railway network across the cities and towns .( Bangkok na majiji mengine kama Kuala Lumpur na Vietnam..

Hizo vipi nimepata ???
Vietnam
 
Hongler

Member
Mar 25, 2022
8
45
Ukienda na dhana ya "watu wanabebwa au kupeana kazi" hakika lazma ufeli. Kama umebahatika kuitwa kwenye interview wew nenda kapige KAZI , ukiwa kwenye written kuwa na kitu inaitwa SPEED & ACCURACY pia acha story kwenye answers jibu ulichoulizwa na ukibahatika kwenda Oral usisahau SHORT & CLEAR achana na narration yaaan lenga kwenye POINT moja kwa moja. All the best
 
Hongler

Member
Mar 25, 2022
8
45
Kumbuka kwenye mkusanyiko mkubwa vile wote lengo lenu NI MOJA yan kazi. Shika haya
1.Yan piga ua kwenye mkusanyiko mkubwa hvyo huwakosi wachawi, yan wanatumia ushirikina kupata kitu wengi watalala makuburini ili tu wapate hii kazi.( ili kundi ni wengi mno)
2. Kuna wengine watafunga kwa maombi mazito mno! Ni mwendo wa maji tu na kumlilia Mungu amkumbuke coz tumaini lake ni kwake tu. Apa lazma wese la mwamposa lihusike au lile la safina, pia visomo kwa mashekhs ni uwakika (usiende kizembe kama huwezi uchawi kaa kwenye ili kundi)
3. Wengine wana uwezo mkubwa sana darasani yaan kujibu mtihani kwao ni ishu ndogo sana(Vipanga) hawa ni moto wa kuotea mbali.
4. Wengne wana bahati sanaa + mvuto na hawa ata kama wana uwezo wa wastani laxma wamek kweny list mazee
5. Wengne hawana vyote hivi lakin ni hard workers watatumia nguvu kubwa sana adi kieleweke 😁😁
Sasa kudeal na aina ya watu niliowataja hapo juu, ukiwa viungani pale dom be cool, acha kusumbua watu na kujifanya unajua sanaa .
 
isco francisco

Senior Member
Aug 25, 2017
112
250

Jiungeni apo
 
MARPOL

Member
Jul 15, 2017
11

Umeongea ukweli mkuu
Huna baya na mtu.
Imani tu ndio itaponya
 
middle east

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
1,224
2,000
Kumbuka kwenye mkusanyiko mkubwa vile wote lengo lenu NI MOJA yan kazi. Shika haya
1.Yan piga ua kwenye mkusanyiko mkubwa hvyo huwakosi wachawi, yan wanatumia ushirikina kupata kitu wengi watalala makuburini ili tu wapate hii kazi.( ili kundi ni wengi mno)
2. Kuna wengine watafunga kwa maombi mazito mno! Ni mwendo wa maji tu na kumlilia Mungu amkumbuke coz tumaini lake ni kwake tu. Apa lazma wese la mwamposa lihusike au lile la safina, pia visomo kwa mashekhs ni uwakika (usiende kizembe kama huwezi uchawi kaa kwenye ili kundi)
3. Wengine wana uwezo mkubwa sana darasani yaan kujibu mtihani kwao ni ishu ndogo sana(Vipanga) hawa ni moto wa kuotea mbali.
4. Wengne wana bahati sanaa + mvuto na hawa ata kama wana uwezo wa wastani laxma wamek kweny list mazee
5. Wengne hawana vyote hivi lakin ni hard workers watatumia nguvu kubwa sana adi kieleweke
Sasa kudeal na aina ya watu niliowataja hapo juu, ukiwa viungani pale dom be cool, acha kusumbua watu na kujifanya unajua sanaa .
Ukweli mtupu
 
Aleyn

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
14,581

Heshima yako
 
PASSIONATE

Member
May 20, 2015
62
95
Hii tume inajipoteza heshima yake sasa why wanakuwa hivi siku hizi?
Kuna kitu hakipo sawa mahali inabidi mabadiliko makubwa yafanyike kwenye hii tume watoto wa maskini wanateseka bila sababu.
Ukweli Mchungu ni kwamba nafasi zinazotolewa na serikali kupitia utumishi ni chache kulinganisha na waombaji, generally kila mtu ana fit-in hizi interview ni sehemu tu ya kupunguza watu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom