Niliweka train la week mbili kituo ilikuwa jpili iliyopita team kibao nikatia 200 tu kama stake.. malipo 500k kikaja kuzingua kitimu flani hivi
Shida ya treni nyingi za dunia ya tatu(africa) hazina uhakika, muda wowote abiria wanalala maporini.
 
Tayari nishaanzisha safari nyingine ya treni; pugu - kigoma. GG mwanzo mwisho.
Uzuri wa treni mtaji ni mdogo sana, unaweza weka tena na tena.
Mechi 25, dau elfu 8. Ushindi ni USD milioni 2:D.
 
Tayari nishaanzisha safari nyingine ya treni; pugu - kigoma. GG mwanzo mwisho.
Uzuri wa treni mtaji ni mdogo sana, unaweza weka tena na tena.
Mechi 25, dau elfu 8. Ushindi ni USD milioni 2:D.
Umekuja kufufua mioyo ya watu juu ya matreni, mwaka jana kuanzia mwezi wa 8-12 ilikuwa ni matreni tu humu, mwishowe wengi wakachimba.USER=378940]Kada mwandamizi[/USER] Capslock kpng12 Dabil CARDLESS na wengine nimesahau Id zao tulikuwa tunapeperusha bendera humu.
 
Hizi mechi za mwisho wa ligi naona treni za GG ndiyo zinaweza okoa jahazi.
EPL pekee ndiyo bingwa hajapatikana. Kwingine wamerelax sana.
:cool:Ngoja nisake USD 2 milioni ya weekend hii.
 
Aisee baada ya kichapo kizito leo nimejaribu Odds 20 zimetoa sema niliweka 1000 tu wakati nilipanga kujilipua na 15000 aisee, yaan Kanji anatisha, ukijilipua anakubutua kweli kweli, ukiweka low stake nae anakubaliki.
Ishukuriwe Basket.
 
Treni laa route ndefu dereva hawezi kuwa mmoja tukae tutafakari treni kuanzia team 25 madereva wasipungue 3 na wasizid watano ndo angalau tren linaweza fika salama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom