Ndoto, Ndoto, Ndoto Ndoto. Inaweza kuwa kweli au sio kweli. Wakuu nimeoteshwa kupata 800k kwa 250 tu.
Screenshot_20220126-090038_Chrome.jpg
 
Usibet kwa kuangalia eti timu imepoteza game fulani leo itashida?? MAN U aliwahi kukosa ushindi kwenye game 5 mfulululiza sembuse Sinba?? Simba hii ni mbovu, Mpe DC KAGERA au DW Kagera utakuja kunishukuru.
Mkuu wewe ni Yanga lia lia au? 😂😂😂😂

Nauliza tu
 
Ni ngumu sana japo sijawahi kujaribu, na hâta nikisema nijaribu nilifanikiwa kufikisha 500k tu siwezi kustake nzima .

Rollover ya odds 2 ni bora kwasababu inachukua muda kidogo kuliko ile ya odds 1.2
Mkuu mbele ya “kanji” kulia na kucheka yote ni makelele tu, sio odd 2 wala 1.2 yaani ni kama uchawi vile

Lakini kila mtu na bahati yake kuna watu wanatoboa day 10 aisee

Hapa dawa ni ukibahatisha day kadhaa tu vuta mounga fasta
Maana kadiri unavyo shinda hela ikiongezeka unapagawa hadi odd ya 1.001 unaona kama odd 100 na kinachofuata unapigwa na kitu kizito kichwani unabaki kujiona mjinga kweli 😂
 
Mkuu wewe ni Yanga lia lia au?

Nauliza tu
Mm huwa naagalia game zinavyonekana mkuu, msimamo wa Ligi na Timu zinapokutana. Mara nyingi sibet timu za BONGO, nikibet ni kujifurahisha.
Mnabet sana kwa mapenzi, hali hii imekosesha watu wengi pesa wakiamini BARCA, MAN U, ARSENAL, AC MILAN watakaa sawa next game na bado vichapo viakendelea. Hali hii inatokea kwa Simba msimu huu wengi mtaliwa sana kwa kuamini ile timu ni nzuri wakati unaona wazi ni mbovu, na ikikutana na timu inayotumia nguvu kiasi basi matokeo huwa magumu kwao.
Ningebet ile serious HOME TEAM Over 0.5. Nawe nakushauri weka HOME TEAM over O.5 utapata pesa. DW Kwa Simba ni Ngumu na kwa Kagera ni Ngumu zaidi.
 
Na wewe mkuu huoni unatumia historia hiyo hiyo kuihukumu Simba??

Zipo zinazokaa mechi tatu na zinarudi vizuri mf. Liverpool ilitarajiwa kupoteza mechi zake baada ya wachezaji wake kwenda AFCON na matokeo mabovu mwishoni mwa dec.

Betting anything can happen chief inategemea na upepo wa mtu ingekua ni historia mambo yangekua simple sana
 
Wataalam wa matren ya wik betpawa sion kitu. Au mmeamsha mikono. Kwa wapenz wa odds kidg stake kubwa jarib basketball kuna tabia nzur kat ya matokeo na records
 
Mm huwa naagalia game zinavyonekana mkuu, msimamo wa Ligi na Timu zinapokutana. Mara nyingi sibet timu za BONGO, nikibet ni kujifurahisha.
Mnabet sana kwa mapenzi, hali hii imekosesha watu wengi pesa wakiamini BARCA, MAN U, ARSENAL, AC MILAN watakaa sawa next game na bado vichapo viakendelea. Hali hii inatokea kwa Simba msimu huu wengi mtaliwa sana kwa kuamini ile timu ni nzuri wakati unaona wazi ni mbovu, na ikikutana na timu inayotumia nguvu kiasi basi matokeo huwa magumu kwao.
Ningebet ile serious HOME TEAM Over 0.5. Nawe nakushauri weka HOME TEAM over O.5 utapata pesa. DW Kwa Simba ni Ngumu na kwa Kagera ni Ngumu zaidi.
Nilisema hapa nikatukanwa sana na kuonekana mnazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom