Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 6,491
- 10,480
Afu pesa yangu naipataje??
Asilimia 99 huwa hatufanikiwi kurudisha zaidi ya kuzidi kupoteza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu pesa yangu naipataje??
Cheza KistaarabuHapa nikutafuta tu kibubu cha chuma, nilikuwa najidanganya kila siku natoa teni kanji kapitanayo yoteView attachment 2090447
pickwiseanayejua site nzuri inayofanya analysis na ice hockey naomba anisaidie
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
Maumivu pro maxMkeka wangu wa leo Real madrid win alafu natia 150000 kama mtaji wa mananasi wa mwamba yule alie zimia
Kesho kuna mechi nyingi tu acha kubeti kwa mazoea utakua mteja wa kanji tuliza kichwa mzee.baada ya kula usiku huu, nimebakiwa na Tsh 3000 tu
Naombeni odds walau nipate Tsh 20000 tu