Angalia betting mbili za mwisho kaweka 15000 zote na zote zina odds 152 lakini angalia hela moja milioni tatu nyingine milioni moja so ukiwa muongo usiwe msahaulifu EDITING HIYO hakuna ukweli hapo
Ods 150 zilizokusanywa kutoka timu 26 na odds 150 zilizokusanywa kutoka timu 3 haziwezi kulingana bonus hata siku moja
 
Ndugu zangu kama bado mnabeti kwa kufuata majina makubwa itakula kwenu,hivi kweli kwasasa kuna mtu anampa Barca ashinde?,serious?

Mtaendelea kila siku kupigwa na wahindi mpaka mchakae
 
Acha ushamba itumie nyota yako kabla haiachafuliwa na mambo mengi ya betting yani hapo akili bado haijajifanya juaji kubeti kwa kuangalia majina ya timu odds zikoje matamanio n.k hapo bado unatumia hisia zile zenyewe. Siku ukiachana na hisia hizo na kujofanya sasa umejua kubeti ndipo unapoanza kupigwa vilivyo na muhindi
 
Hapana ndg situmii hisia. Kuna app inaniongoza. Ila sina imani nayo sana. Ndio maana nafanya hivi. Nastake kwa zile zenye 100% tu. Ila hizi za kawaida natunza kumbukumbu kama unaweza kula au la!
 
Kila la kheri
 
Ona uchawi wa olimpiacosView attachment 2070044
Screenshot_20220106-012756.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom