Screenshot_20211225-184620.png
 
Chagua code unayoitaka umalize nayo mwaka

Ni zawadi ya sikukuu

Usisahau kuweka like ili iwe rahisi kukutumia View attachment 2057173

Jf siku hizi imekuaje aisee

Yaani mtu hadi unageuka supa staa unaringa hutumi code hadi mtu a like post yako

Code yenyewe sasa game 50 na hakuna hata siku moja zimetoa won

Mtachakazwa na wahindi hadi mshindwe kuhudumia ndoa zenu jamani
Bet haijawahi kuwa rahisi kiasi hiki cha ku stake 599 upate milion 25

Merry Christmas
 
Jf siku hizi imekuaje aisee

Yaani mtu hadi unageuka supa staa unaringa hutumi code hadi mtu a like post yako

Code yenyewe sasa game 50 na hakuna hata siku moja zimetoa won

Mtachakazwa na wahindi hadi mahindwe kuhudumia ndoa zenu jamani
Bet haijawahi kuwa rahisi kiasi hiki cha kiatake 100 upate mamilioni

Merry Christmas
Uko kutotuma codes sometimes kunatuepusha na kuliwa pia,wanaodeka kutuma codes waendelee kudeka tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom