Tatizo la Jackport huwezi kucash out mzee, treni kuna muda unakuta umewaka timu 25 na 18 zimetoa ww unacash out hizo zingine watua wenyewe.
As long as hela ya kula na kufanya starehe zangu nyingine zipo, nimegundua sina sababu ya kukomaa na matreni au mikeka midogo na kupoteza 30K -100k per week.

Nimegundua kwamba hizo hela ni bora nizielekeze kwenye jackpot ikiwa lengo langu ni kutafuta ushinde mkubwa.
 
Ukifanya analysis utume hapa fanya ivyo
 
IMG_4092.jpg

PXDSB

Inplay
 
Sina uhakika na kuhama kampuni,kama tatizo ni kufanya utafiti na uchaguzi sahihi ni shida hata ukienda kampuni gani hutaweza pia
Kuna uafadhali fulan mkuu, betpawa wana options chache sana..bora nijaribu na huko..Mimi huwa natumia zaid sportpesa na betpawa so nataka nijaribu na huko kwingine kwenye options nyingi.
 
Kuna uafadhali fulan mkuu, betpawa wana options chache sana..bora nijaribu na huko..Mimi huwa natumia zaid sportpesa na betpawa so nataka nijaribu na huko kwingine kwenye options nyingi.
Kila la heri mkuu
Nakuombea upate
 
Kila la heri mkuu
Nakuombea upate
Jaribu sportybet wako poa sana yaani hadi mechi unaangalia live huku una bet..options kama zote,pesa ukila unaipata wakati huohuo..Sport pesa ni matapeli wakiona kuna options za kupiga pesa kama over 1.5 hawaziweki wanakuwekea game itoe zaidi ya goli 3
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom