1B9FE6F

Oya hili ni la masafa marefu naomba mtu akae achambue tupate team 20 ambazo zitakua na possiblity kubwa za kuwin
 
Kwani kuna mtu anateseka? DB7F7A3
Screenshot_20211209-114151.jpg
 
C ulisema ww ni mchambuzi mzuri, cc wengine hatujui kubet? Vp hali inasemaje huko! Inanyesha au bado jua ni kali?
mkuu mikeka tegemezi yote imeondoka kwa matokeo hayo. Timu unaifanyia analysis nzuri, mkeka wa wiki nzima timu inatoka kikosi cha kupuuzi, mtu unashindwa kucash out maana unaona timu zilibaki ni nyingi kiasi. Kwa uchambuzi niliofanya na kama vikosi vingekuwa imara basi matokeo yangekuwa mazuri zaidi.
Ndio maana napenda nibet kwa Odds ndogo hzi.
 
Sikulazimishi kuamini na wala sijaleta iwe mada...ila nachojua kama umekuwa mcheza kamari wa siku nyingi huwezi kubisha swala la hizi kampuni nguvu wanayokuwa nayo juu ya hii mikeka...hasa kwa timu wanazojua hazifatiliwi au za ligi ndogo..so kama unabisha wewe bisha ila ipo siku utajionea mwenyewe mimi hiki kitu leo ni mara ya tatu japo ni vitu tofauti..na naweza kukupa ushahidi
BETIKA wana huo mchezo ,kuna siku nipo na mshikaji wote tumebet , mi nimempa Gwambina ameshinda na mshikaji akampa double chance ,mwishowe Gwambina ameshinda mi wameweka loose kwa mshikaji wakaweka loose pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom