Leo nimewapa club bruge washinde Faulo li psg ndo linajifanya leo kushinda Faulo kwenye mechi kalibia ishiliniHahah mzebaba punguza hasira mbona Leo PsG kapiga mtu 4
Mkuu hii treni imekamilika?Wakuu naona kona zinatoa ,Leo sijalala bure . Ila hii Mechi ya shakhter imekuja kutoa 1.5 dak za lala salamaView attachment 2036659View attachment 2036660
Unabalaa mkuuAliyefuata code imetick!
Hawa jamaa wako fasta kama umeme unaweza usiaminiNilikua nasubiri porto atoe goli tu nashangaa sioni tena mkeka sijui walikua wamejua lose
Jah Bless alwaysTuombeane mema wazee maana city nilihisi ataharibu ila kakubali mwenyewe, kabaki huyo mmoja naombea tu asije akanishangaza.
View attachment 2036540
Kesho Kuna maajabu gani au ndo Bahati nasibu
Ni kama timu 14 ,Ila imekamilikaMkuu hii treni imekamilika?
Nilikua nasubiri porto atoe goli tu nashangaa sioni tena mkeka sijui walikua wamejua lose
Mimi hii nilijitengezea juzi sikutuma hapa nilikuwa nafanya utani tu. Mkeka utasogea hadi tar 12.Yote 9
ile code nilotuma mchana bado inapumua mlofuata tuendeleze maombi.View attachment 2036670
Hakika.Mimi hii nilijitengezea juzi sikutuma hapa nilikuwa nafanya utani tu. Mkeka utasogea hadi tar 12.View attachment 2036672
walikuwa wanasubiri kwa hamu u loose ,yaani hata hawasubiri mpira uishe vizuriNilikua nasubiri porto atoe goli tu nashangaa sioni tena mkeka sijui walikua wamejua lose
acha tu chifHawa Milan pamoja na kuwa nyumbani game muhimu wameshindwa kuzuia hata SARE, washenzi sana hawa..
View attachment 2036661
Haahaaa kaka hata mm nna cash out elfu 46. Stake 5000 remain 4 game to bloom 200kNichukue laki 1 niache M2 ngoja kwanza
nimeumbwa kusubiri mimi.View attachment 2036669