Ogopa sana hizo timu zilizofuzu, nawaambia watu kesho BAYERN waachane nae au wampe DC Barca, kwa ninavyoangalia Bayern matokeo yake mazuri kesho ni Sare tena ataitafuta kwa tochi na mababu wale.
Sisi wengine hapa tunaenda tunapiga mechi moja moja, hayo matreni hapana! Tupo hapa tunanyoana kavu kavu kwenye double chance hadi kwenye vitimu vya huko Cambodia, Malaysia na Thailand!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom