Asante man city kwa kusepa na kijiji....mtu mwingine anaekuja kuuza watu ni liverpool...klopp amepanga kikosi cha kuuza mechi na hata benchi hakuna watu wa maana...
watu ukiwaambia hizi game ambazo watu wanahitaji matokeo usibet kwa ushabiki hawaelewi. Kesho Bayern anasepa na mikeka kibao, Barca anafungu Turbo zooote mechi itakuwa ngumu sana kwa Bayern
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom