Shida izo campuni zinakosa wadau sababu watu bet ziwatese tena na waanze kuangaika na wakala shida watu awataki habari za wakala ata mimi kupita kwa wakala sipendi bora nikomae na betpawa tu mbona nyie mnaosema hizo kampuni zina option nzuri atuwaoni mkila umuhimu wa option nzuri ukwapi.
Kwakua sikuizi huku zimejaa code za matreni ya betpawa watu wa 1xbt na 22bet tunashindwa kuleta code zetu huku, kwahiyo tukibet kimyakimya Kisha tuki-win na kuzileta huku won tickets mnatuita MATAPELI kitu ambacho sisi hatutaki.Mimi hâta jana tu nimetoka kupiga ka 31K kangu ka bando la mwezi😃.

Leteni code za matreni turuke nazo.
 
challenge ina endelea day3

Nilimuongeza na simba hapa 1.22
total odds zika fika 1.86
View attachment 2029964

Daah, mimi PSG ameamua kukatisha program yangu :mad::mad:
Nilimpa over 0.5 na Liverpool win.

Kanji hajaribiwi *****. Mkuu nakushauri ikifika amount nzr, withdraw uanze tena. Hii program ni nzr kwa siku 5 mpk 10 tu. 30 days ni ngumu.
Af kadri stake inavyozidi kupanda, kitete cha kustake kinakuwa kikubwa ... mwisho wa siku unaangukia pua. Mfano jana niliwaacha Chelsea na Man City kwa kuwa walikuwa ugenini, nikaamini PSG yuko home, halafu Messi na Mbappe wapo uwanjani hawatashindwa kupata goli moja. 🙆‍♀️🙆‍♀️

1638432830219.png
 
Msiwabeze wazee wa matreni ya betpawa hata kodo, Jana tu nimechomoa 104,000 na kupitia matreni ya humu ndani nili edit kidogo tu...nikapata ODS 16.
Tupieni codes wakuu...live bet inalipa ila inagharimu muda na pressure juu.
 
Daah, mimi PSG ameamua kukatisha program yangu :mad::mad:
Nilimpa over 0.5 na Liverpool win.

Kanji hajaribiwi *****. Mkuu nakushauri ikifika amount nzr, withdraw uanze tena. Hii program ni nzr kwa siku 5 mpk 10 tu. 30 days ni ngumu.
Af kadri stake inavyozidi kupanda, kitete cha kustake kinakuwa kikubwa ... mwisho wa siku unaangukia pua. Mfano jana niliwaacha Chelsea na Man City kwa kuwa walikuwa ugenini, nikaamini PSG yuko home, halafu Messi na Mbappe wapo uwanjani hawatashindwa kupata goli moja.

View attachment 2030342
aisee hatari sana mkuu ngoja mm niendelee kupima nione ntafikia wap ila ikifika amount nzur nita withdraw si lazima nifikishe hizo 30 days
 
Daah, mimi PSG ameamua kukatisha program yangu :mad::mad:
Nilimpa over 0.5 na Liverpool win.

Kanji hajaribiwi *****. Mkuu nakushauri ikifika amount nzr, withdraw uanze tena. Hii program ni nzr kwa siku 5 mpk 10 tu. 30 days ni ngumu.
Af kadri stake inavyozidi kupanda, kitete cha kustake kinakuwa kikubwa ... mwisho wa siku unaangukia pua. Mfano jana niliwaacha Chelsea na Man City kwa kuwa walikuwa ugenini, nikaamini PSG yuko home, halafu Messi na Mbappe wapo uwanjani hawatashindwa kupata goli moja. 🙆‍♀️🙆‍♀️

View attachment 2030342
Pole mkuu

Ni kweli kadiri mzigo unavyozidi kimuhe muhe cha kustake mzigo wote kinazidi

Kwa odd zako hizo mkuu target siku 10 tu hizo odd kubwa
Na roho ikisita hata day 4 we chomoa mzigo
Au ukidouble toa kwanza mtaji kisha rudi nyuma kisha endelea
Usikate tamaa jaribu tena
Mi nlianza na 100k nipo day 13 leo nime stick odd 1.2 haizidi hapo
Sababu ya limit ya stake nimehamia live bet
 
Hii kitu na mimi nataka niianze, nikampuni gani au kampuni zote zinafanya
 
Pole mkuu

Ni kweli kadiri mzigo unavyozidi kimuhe muhe cha kustake mzigo wote kinazidi

Kwa odd zako hizo mkuu target siku 10 tu hizo odd kubwa
Na roho ikisita hata day 4 we chomoa mzigo
Au ukidouble toa kwanza mtaji kisha rudi nyuma kisha endelea
Usikate tamaa jaribu tena
Mi nlianza na 100k nipo day 13 leo nime stick odd 1.2 haizidi hapo
Sababu ya limit ya stake nimehamia live bet
Hongera,ni wazo zuri
 
Asante sana Mkuu ... nimefikiria nianze na 50K odds 1.3, nipige kwa siku 10. Ila jana nimeponzwa pia na Apps/Sites ambazo huwa napita pita kuona wamepredict vipi. Nimeona wengi walimpa ushindi PSG ... nikajiongeza kwa kumpa over 0.5

Aluta continua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom