Matreni msipoacha kuyapanda yatawafelisha sana
Ni ngumu sana kupatia mechi zaidi ya kumi, ni ngumu zaidi kushinda milioni mbili kwa shilingi mia
 
Betting haina mwenyewe ,we mwenyewe ulivyoanza jukwaani ulikuwa ni master wa njoo inbox kwahiyo haishangazi kuwa na lugha tamu . Hamna mjuzi wa betting hizi siyo kazi za mikono ni bahati nasibu ,Leo unakula kesho unakosa
Achana nae huyu, nishajua akili na lengo lake.
 
Unaongea na wakala wako kujua kama yupo online (mara nyingi wanakuwa active WhatsApp), Kisha unamtumia kiwango unachotaka kudepost. Wakala atahitaji ACCOUNT ID yako ili akuweke hela.

Kiwango utakachotuma ndicho kitakachofika kwenye account yako bila makato yoyote, hapa unasisitiza kutumia mawakala walio-reliable na wasiokaukiwa float. I recommend Etoo43 kwenye namba +254 111964965 kwa WhatsApp. au 0765357566 kwa nyia ya kawaida na deposit.

Mtafute akueleweshe vizuri.
Shukrani kaka

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Shida n moja humu ndani waliibuka watu kutoka betpawa,na wat hao n mawakala wake so walichooganise n kuja na swala la kusuka treni wakijua Kuna wat wengi wanataman pesa nyingi Kwa jero,mwisho wa siku n kilio kwenda mbele huku kampuni ikiendelea kupata faida,mm nna mifano konk ya ndgu yangu ambaye n wakala na huo mchezo Anaufanya vizr t na yupo humu,Cha mhimu ndgu zangu achaneni na matren yenu betini odd 2 au tat au hata 1.50 weka pesa lala vizr hapo kurisk kutapungua

Nmeongea siri hiii soon watabadir upepo watatoka kwenye matren na kuingia mbinu nyingne,be careful
Kweli kabisa,,nilihisi kitu kama hicho kuwapo,kuna watu humu ni mawakala wa makampuni ya kubeti tena wana Id tofauti tofauti,mbinu wanazo kuja nazo ni za hovyohovyo tu,
 
Ukidharau shauli yako utanikumbuka.

Arsenal win and under 2.5
Liverpool win and over 2.5
Liverpool over 1.5
West ham over 0.5
West ham - Liverpool total goal range
2-4.
 
Shida n moja humu ndani waliibuka watu kutoka betpawa,na wat hao n mawakala wake so walichooganise n kuja na swala la kusuka treni wakijua Kuna wat wengi wanataman pesa nyingi Kwa jero,mwisho wa siku n kilio kwenda mbele huku kampuni ikiendelea kupata faida,mm nna mifano konk ya ndgu yangu ambaye n wakala na huo mchezo Anaufanya vizr t na yupo humu,Cha mhimu ndgu zangu achaneni na matren yenu betini odd 2 au tat au hata 1.50 weka pesa lala vizr hapo kurisk kutapungua

Nmeongea siri hiii soon watabadir upepo watatoka kwenye matren na kuingia mbinu nyingne,be careful
What a rubbish
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom