6EDE9D8

Hilo apo tulifanyie marekebishoo na kam unaon panapovuja . Tunafanya marekebisho piah kam kun machi za kuongeza tuongezen piah

Karibun wadau
Mi mkiweka code Kama hivyo kiukweli nabak station tran linaniacha, kila nikicopy na past katika option ya search majibu hua there is no current even jaman na mm mdau mchanga nisaidien
 
NIMEKESHAAAAAAAA SIKU TATU NASUKA MKEKA HUUU

BETWAY CODE U1E04F31A

TAREHE 6 - 13

KILA LA KHERIIIIIIIIII

93DB263~Betpawa.
Wakuu nimejaribu kubadilisha ila baadhi ya option kama over 0.5 kwa baadhi ya timu hakuna so nimeweka home team over 0.5 or over 1.5~FT.
Pia naona baadhi ya mechi za World CUP QUALIFYING hazijawekwa mfano Belgium vs ESTONIA.
 
Mi mkiweka code Kama hivyo kiukweli nabak station tran linaniacha, kila nikicopy na past katika option ya search majibu hua there is no current even jaman na mm mdau mchanga nisaidien
usipaste kwenye SEARCH..ukishaCOPY code humu.bonyeza kampira kapo juu kabisa KULIA..then utakutana na neno BOOKING CODE utaipaste Pale..then utaClick LOAD.
 
Mi mkiweka code Kama hivyo kiukweli nabak station tran linaniacha, kila nikicopy na past katika option ya search majibu hua there is no current even jaman na mm mdau mchanga nisaidien
Mpira huo hapo juu kulia..then paste ktk booking code hlf load
Screenshot_20211106-114809_betPawa.jpg
 
Mi mkiweka code Kama hivyo kiukweli nabak station tran linaniacha, kila nikicopy na past katika option ya search majibu hua there is no current even jaman na mm mdau mchanga nisaidien
Kama unatumia simu
-upande wakulia juu kabisa kuna mpira na 0,bofya hapo.
-utaona sehemu booking Code.
 
ili ushinde vita basi utahitaji mipango + mikakati na mbinu za kumshinda adui

Umoja ni muhimu ndo maana hata mataifa makubwa huform alliance kuweza kupambana na adui leo nime ona tufanye jambo moja la ushirikiano japo sio geni limesha wahi kua proposed humu lakini utekelezaji ume kua wa kusua sua

ishu ya leo ni kua naomba kwa pamoja tuweze kupitia source mbali mbali kisha tuweze kushare kwa pamoja ili kuweza kunufuika na hii michezo

kila mmoja kwa nafasi yake mahali alipo basi aweze kuingia ndichi/chimbo na kutuletea mechi zisizo zidi 3
yaani (2-3) ambazo baada ya kua umefanya uchambuzi wako wa kina kisha kwa pamoja tufanye SORT-ing tupate mkeka wa pamoja tustake

mimi nime weza kuangalia mechi hizi

Chelsea win FT odds1.29
(kigezo cha kumpa Dw ni kua yupo uwanja wa nyumbani pili team ipo kweny best form japo kuna majeruhi wachache lakini ni team ambayo naamini kwa hii mechi ya leo haiwezi kupoteza kizembe hivo home win kwangu naona ni vzuri zaidi kwa leo)

B/Munich Vs Freidburg
Over 2.5 at 1.26
hapa zina kutana team mbili ambazo zime kua kweny kiwango kizuri kwa namna yake Bayern M wao wako vzuri zaidi kwa upande wa ufungaji mpaka sasa wakiwa wamesha funga goli 38 uku wakiruhusu goli 10 tu ktk mechi ilizo cheza 10 kwa hiyo ni wastani wa goli 3.8 ~4

upande wa pili ni Freidburg ambao wao mpaka kufikia sasa ndio best team upande wa defense wakiwa wame ruhusu goli 7 tu langoni mwao uku wakifunga goli 17 ktk mech kumi wastani wa 1.7~2

ukitazama mechi 5 walizo kutana mara ya mwisho utaona ni mechi 1 tu ambayo walitoa under 2.5 ya 1-1 nne zote zikiwa ni Over 2.5 na zote zikitoa GG

Hivo kwa mtazamo wangu naona leo over 2.5 ita faa zaidi odds 1.26

Peterbourgh Vs Fulham
over 1.5/2.5
leo peterbourgh ana kutana na miamba fulham ambapo kweny msimamo wa ligi ndie kinara wa magoli mpaka sasa wakiwa wamesha funga goli 43 ktk mechi 16 tu uku wakiruhusu goli 14 wakishika nafasi ya pili ktk msimamo wa ligi tofauti ya point 2 dhidi ya kinara wa ligi Bournmouth
kwa upande wa peterbourgh ni team iliyo panda daraja toka ligi1 ikiwa imesha funga goli 17 uku wakiruhusu goli 31 golini mwao wao wakiwa ndio kinara wa kuruhusu goli nyingi 31 kufungwa hivo hii ina dhiirisha ubovu ktk upande wa defense yao.
kwa kuzingatia hayo naona goli 2 au 3 zina weza kupatikana bila shaka yoyote..


karibuni sasa tuendelee na utaratibu huu mpaka tupate mkeka wa leo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom