Imekaaje hii
Screenshot_20211026-110040_Betway.jpg
 
Wakuu hapa zilichana timu nne afu zote kubwa kubwa kila nikiangalia hili jamvi naishiwa nguvu kabisa 4 milion na chenchi zake dah
Screenshot_20211026-113548~2.jpg
Screenshot_20211026-113554~2.jpg
Screenshot_20211026-113559~2.jpg
Screenshot_20211026-113606~3.jpg
Screenshot_20211026-113635~2.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20211026-113635~2.jpg
    Screenshot_20211026-113635~2.jpg
    49.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20211026-113548~2.jpg
    Screenshot_20211026-113548~2.jpg
    46.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20211026-113606~2.jpg
    Screenshot_20211026-113606~2.jpg
    48.5 KB · Views: 1
A612850
Dabil Chimbekeha samir nassir kitonger na wengine wote pitien hyo mnipe ins zenu maana nataka nijilipue vbaya mno
Nitaongelea kuhusu,
Juventus
Real madrid

Nikianza na JUVENTUS naona kama mechi ngumu kidogo kwa sababu ana mechi kama tatu mfululizo ushindi wake ni goli moja ndani ya dk 90 hivyo forward yao butu,
ukiwaangalia SASUOLO utofauti wa point zao ni 4 tu.

Real madrid hapa napo naona ngumu kumpa mazima,kumbuka Madrid na Osasuna utofauti wao ni point 2, kwa maana Osasuna naye yuko vizuri msimu huu.
Wenzangu wataongea kwa walichokiona kwa upande wao,
yangu ni hayo shukrani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom