Nimependa idea yako,je inawezekana kuweka alama ya red na green kwa code zinazotiki na ku lose?
Inawezekana ila mikeka inaweza kuwa mingi sana kupitia mmojammoja na kuanza kuweka alama maana mpaka mwisho wa wiki kuna code nyingi sana za matreni zinatoka.
 
Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kutumia card za NMB na CRDB kudeposit na kuwithdraw hela 22bet na 1xbet.Pia kama kuna mtu anayetumiaga kadi za NMB na CRDB kufanyia malipo kampuni za betting anielekeze
 
Naombeni namna ya kuunganisha haya matreni ya betpawa,hata 5 nikatoa mkeka mmoja unafanyaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom