Betpawa wanaleta hela haraka sana uki with draw.😂😂😂
Hii buku tatu naishi nayo wiki 2 kwa bando saaaafi😅😅
Screenshot_20211024-201647.png
Screenshot_20211024-201700.png
 
Hivi wadau niulize hivi ni bora timu ichane ikiwa na odd ya 1.16 au ya 1.55 ipi nzuri maana kuna mhuni ametoa draw tena dakika za nyongeza 90,+ 5 alikuwa na odd ya 1.55 imeniuma basi tu, wametoka 1-1
 
Inakatisha tamaa sana treni ya timu 45 imechanwa na Atalanta tu ,waliofuata tungekula mamilioni humu Sijui shetani gani alimpitia Atalanta anafungwa dk 90 tena za nyongeza
Bas tu mkuu niliweka treni la timu 25 timu kubwa nne zikachana zenit hammaby midjitland na rangers afu mzigo ulikuwa million 4.3 dah tukaze buti
 
Nimejiaminisha leo nibeti toka jana naambulia maumivu tu kwa mhindi nalala njaa leo duu nimekwisha maskini ya MUNGU,

Nilikuwa na buku yote nimebeti sijui ata chakula ntafanyaje leo, ntakula jeuri yangu, msaada waugwana nàangamia kwa kukosa maarifa,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom