hatimaye tren yenye behewa 41 xamax kaiangusha ,kashindwa hata kusuluhu
asante nyimgi kwa muandaaji wa code
sio makosa yake ila ni mambo ya uwanjani ambayo haya epukiki
 
majibu ya 22bet hayo
Screenshot_20211022-235009.jpg
 
Nadhani ni technical issue na itakuwa resolved maana kampuni imesajiliwa Tz, hela zetu zipo ila kuzipata kwa wakati ndio itakuwa shida
Huyu M LIPA si mtanzania? na kampuni yake si halali na amesajiliwa? Kwa nini asitoke hadharani kuwafafanuli watu nini tatizo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom