Ukiwapigia au option ya WhatsApp chat wanasemaje ,mi hivo hivo nilideposit kila siku nawapigia wananipigia tarehe ,nilikosa jackpot timu moja tu hata bonus hawakuweka,nikawapotezea .Halafu siku kukiwa na Mechi wanapiga simu ,kila wakipiga nawaambie sitaki ujinga wenu msinisumbue mna huduma mbovu kuna kampuni nzuri zaidi yenu.

Tofauti na sportpesa na betpawa kibongo bongo siamini makampuni mengi,betpawa kama hela haijaingia unascreenshot tu muamala na kuwatumia whatapp dk chache tu wanarekebisha
Wananiletea pigo za kisengee mara niende kuwatumia email..mara ni link account na email na mizunguko lukukiii..nimewaachia bana na nishaifutaa
 
Wananiletea pigo za kisengee mara niende kuwatumia email..mara ni link account na email na mizunguko lukukiii..nimewaachia bana na nishaifutaa
Nina miezi minne nimefuatilia week mbili nikafuta app yao ,ishu inakuja kwasababu namba imesajiliwa huko bado wanaendeleza usumbufu wa kupiga simu kila weekend
 
Betpawa treni.

Hao wa over 0.5 ukiwaacha hivo je hizo direct win nani una mashaka hapo tufanye correction ,hizo over 0.5 nimeziweka ili kuongeza tu bonus iwe kubwa.

9E9134E
Young boys na hyo ya Juventus kama wanaweza tikisa dishi hv
 
Mnawez mkachez pia 2+ ,ni kujiongeza
Polish_20211022_121724939.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom