samir nassir
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,119
- 1,465
Kwnn muhangainga na kampuni zaajabu yani bet pawa chap kwaa unapata pesa yako ni sekunde
Kaka nimepigwa mpka mwili una tetemeka hata ku place bet nashindwa dahLeta apa laki nikubetia SPAL
Tatizo optioi nazopenda kucheza betpawa hazipoTumia betpawa uwe unavuta mkwanja chap
Zimebaki timu ngapiTreni letu la timu 44 linaenda vizuri kabisa japo napoli alitaka kutuliza ila twendeni na duwa tu
Umbetie? Acha kumrusha na ameshasema kichwa kinamuuma. SPAL na mwrnzake ni matahila tu, hawafungani wapuuzi haoLeta apa laki nikubetia SPAL
Bado 6, mkuuZimebaki timu ngapi
Utazoea tu kuliko kuhangaika huku betpawa tunaenjoy tu.Tatizo optioi nazopenda kucheza betpawa hazipo
Asee unataraji kumbomoa ngapiBado 6, mkuu
Basi usitupigie kelele wewe mzeeTatizo optioi nazopenda kucheza betpawa hazipo
Mkuu me nilistake kidogo sana kutest mitambo. Haya matreni mengi huwa hayafiki mwishoAsee unataraji kumbomoa ngapi
Isije kuwa unasubiri 2, 500/-🤣Mkuu me nilistake kidogo sana kutest mitambo. Haya matreni mengi huwa hayafiki mwisho
2kIsije kuwa unasubiri 2, 500/-
Me fresh tu maana sina mtaji kabisa. Na hili treni likitik nitaliwekea alama maana team 42 mzee siyo mchezoIsije kuwa unasubiri 2, 500/-🤣
yaani wanafikiana hadi ndani ya 18 ila kinachotokea wanakatikiana viuno kisha mpila unarudi ulipotoka.Bado game ta SPAL ndo mchawi, nyingine zote hazina shaka
18Zimebaki timu ngapi