Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,016
- 3,462
Napoli anaharibu hali ya hewa
Asee ni balaa, kuna treni flani linakimbia kinomaNapoli mamame zake....alikua ananiona, namaliza tu kucash out ndio anaingia kambani
Hajashinda sema anaongozanapol anatuokoa kashinda 1
newcastle kaharibu tren dk ya 88Kwaheri ya kuonana tunamuomba hapa muundaji wa treni hili amepigana vilivyo ila haikuwa bahati yetuView attachment 1977742
Yea ikidraw inatolewa, inabidi ueke double chanceDuuh! Wakuu hivi kumbe ile option ya DNB inapunguza mkwanja? Mwanzo ilikuwa 44k saiv imebaki 30k
Duuh! Wakuu hivi kumbe ile option ya DNB inapunguza mkwanja? Mwanzo ilikuwa 44k saiv imebaki 30k
Badoo nipo kwenye safari pole Sana aisee tumekuacha njianiCash out ni uzembe kabisa
Yaani namaliza ku cash out napoli katupia
Trein lilokiwa hadi tarehe 24
Cashout inanigomea kabisa hapaCash out ni uzembe kabisa
Yaani namaliza ku cash out napoli katupia
Trein lilokiwa hadi tarehe 24
Umechukua ngap manCash out ni uzembe kabisa
Yaani namaliza ku cash out napoli katupia
Trein lilokiwa hadi tarehe 24
cash out umepata ngapiCash out ni uzembe kabisa
Yaani namaliza ku cash out napoli katupia
Trein lilokiwa hadi tarehe 24
Kweli nimeshukia njiani daaa AiiseBadoo nipo kwenye safari pole Sana aisee tumekuacha njiani
Lipo 31 out of 42Asee ni balaa, kuna treni flani linakimbia kinoma
mkuu yaani ni kama bingo tu,,watorino walishambulia na kutaka kuwachinja watupoliSubiri dk 90 Ziishe kwanza
sijui nitqfika nipate ata ako ka 50000Lipo 31 out of 42