uzi umechafuka,,

TAIFA STARS huwa hawatabiriki si team ya kuibetia kabisa kama una bet kwa stars hakikisha unkuwa na mikeka yote mitatu ushindi,kudraw au kufungwa
 
Screenshot_20211010-181619.jpg
 
ni kuwa makini na izi kampuni zinazo kuja, nyingi zinatapeli ela za watu, mkiweka kwenye account wanatokomea nazo , bila kubeti kama Superbet kila baada ya mda flani wanabadilisha application Yao, hata jinsi ya kulogin wanabadilisha , walianza kuingia kwa email wanabadilisha , wamekuja kwa namba ya simu wamebadilisha , saiz wamekuja na jina na namba, naona kabisa wamekimbia na ela . Ivi ivi Mara pili saiz.
hawa ni wakuwareport sehemu husika,fasta tu wanapigwa ban
 
VP na mikeka ya basketball, hokey, tennis, nk nk,. JF ni home of great thinkers,hakishi dikani kitu. Tupieni. CC: @Kanyimba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom