Hawa mkekabet leo ndio wako hivi kumbe!!? Siku nzima najaribu kubet naletewa hivi.
Nimebet mikeka zaidi ya 20 lakini yote ni hivyo hivyo. Naachana nao hawa hawapo business seriously.
Screenshot_20211010_153237.jpg
 
Watumiaji wa Superbet , mbona Hawa Jamaa kama ni matapeli sana, mbona kama kila wakati wanabadilisha jinsi ya kulogin na wanakimbia na ela za watu, saiz Mara ya pili wanakimbia na ela yangu kwenye account na ninashindwa kuiaccess.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi betway wanahela yangu wiki ya 2 hii,nimewithdraw ila haijafika kwenye mpesa yangu.
Naona hizi kampuni zimekuja kitapeli tapeli
 
Mimi betway wanahela yangu wiki ya 2 hii,nimewithdraw ila haijafika kwenye mpesa yangu.
Naona hizi kampuni zimekuja kitapeli tapeli
ni kuwa makini na izi kampuni zinazo kuja, nyingi zinatapeli ela za watu, mkiweka kwenye account wanatokomea nazo , bila kubeti kama Superbet kila baada ya mda flani wanabadilisha application Yao, hata jinsi ya kulogin wanabadilisha , walianza kuingia kwa email wanabadilisha , wamekuja kwa namba ya simu wamebadilisha , saiz wamekuja na jina na namba, naona kabisa wamekimbia na ela . Ivi ivi Mara pili saiz.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom