Chimbekeha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2018
- 1,193
- 2,163
Za lini hizi mkuu? Maana bado hela haijasoma kwenye akaunti
kuna team hapo kama tiyari zishazingua hivi
Za ligi izo tarehe 16-18Za lini hizi mkuu? Maana bado hela haijasoma kwenye akaunti
Wakuu leo sikulala bure treni ya timu 25 imepita ila niliweka hela ndogoView attachment 1969548View attachment 1969550View attachment 1969551View attachment 1969552View attachment 1969556View attachment 1969558
Tukimshambulia mhindi ipo siku tu anaomba pooCode C8C15AD imetiki,
Najua kesho tutafuatana tu...
Ngoja ni withdraw kila mtu abaki na chake.
Sent using Jamii Forums mobile app
NATENGUA KAULI, Kesho tunaendelea kama kawa maana nimepata mtaji kidogoHii code pia ikichana, ntapumzika week nzima yan tutameet jmos
Hizi mechi za kimataifa heri ziendelee mtu unapiga mikeka miwili ni dalili nzuri ,week ijayo tukirudi kwenye ligi ndo inakuwaga zamu ya mhindiTukimshambulia mhindi ipo siku tu anaomba poo
Hata huko anapigika tu tuna bet kijanjaHizi mechi za kimataifa heri ziendelee mtu unapiga mikeka miwili ni dalili nzuri ,week ijayo tukirudi kwenye ligi ndo inakuwaga zamu ya mhindi
Mkuu rebet upate code, kusearch kazi sana
Mkuu hii unachezaje? Ipo betpawa?daah nimejitutumua kwenye Betpawa
pawa6 matokeo yameishia hivyoView attachment 1969760View attachment 1969762View attachment 1969763
ingia kwenye option ya sport hapo nilipokuwekea mshale,Mkuu hii unachezaje? Ipo betpawa?