Zamani nilipokuwa nje kuna kampuni ya Kirusi inaitwa Ligastavok ,walikuwa wanaweka sana ,nilikuwa nacheza na odds zao huwa ni nzuri ,hasa over lazima uotee ,kwa kampuni za hapa bongo sometimes naona sportpesa wanaweka
ukizipata sure tuma humu wana tufaidi
 
Siku moja moja vile vichenji vinavyo baki kwa account zenyu munaamua kubeti kwa kujaribu bahati ya siku hiyo umeamkaje sio kila siku unabeti kama upo kwenye chumba cha mtihani
Screenshot_20211008-055745.png
Screenshot_20211008-055756.png


Haba bahati ilikuja kujibu kwa miatisa
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Screenshot_20211003-211358.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom