alcacer
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 238
- 201
ukizipata sure tuma humu wana tufaidiZamani nilipokuwa nje kuna kampuni ya Kirusi inaitwa Ligastavok ,walikuwa wanaweka sana ,nilikuwa nacheza na odds zao huwa ni nzuri ,hasa over lazima uotee ,kwa kampuni za hapa bongo sometimes naona sportpesa wanaweka