Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 5,885
- 13,263
Ila bado mda upo huwezi juaNilicashout pesa niliyodeposit then nikaitoa German kwa kile ulichokisema kilinipa mashaka nikafanya maamuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila bado mda upo huwezi juaNilicashout pesa niliyodeposit then nikaitoa German kwa kile ulichokisema kilinipa mashaka nikafanya maamuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
wanapambana na hali yaoUjerumani vipi huko
Ni kweli,jana kuna France na Brazil waliamka second time.Ila bado mda upo huwezi jua
Wakuu huu mchezo wa Hockey unapatikana kampuni gani?Nimekuvulia kofia kwny Ice Hockey mkuu ... shukrani nyingi kwako
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Kampuni zote za betting, Ice Hockey ipoWakuu huu mchezo wa Hockey unapatikana kampuni gani?
Sportpesa, betpawa, mkekabet na m-bet sijaziona ndugu. Saiv tunatafuta mchezo wa kupumulia
Hongera mkuu ,nilitaka kuuchukua Ila nikaona kwenye treni langu la timu 25 zote zipo but niliacha German ,kesho majaliwa treni imebakiza timu mbiliKama kuna aliyenifuata mkeka umetiki huu,
tele kwa tele nisema awali,
tukutane kesho
View attachment 1968706
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani,ila nawe ubarikiwe kwa kile unachokisubiriaHongera mkuu ,nilitaka kuuchukua Ila nikaona kwenye treni langu la timu 25 zote zipo but niliacha German ,kesho majaliwa treni imebakiza timu mbili
Uwe unafanya kama wenzako wanavyofanya kuweka humu mikeka yaoHongera mkuu ,nilitaka kuuchukua Ila nikaona kwenye treni langu la timu 25 zote zipo but niliacha German ,kesho majaliwa treni imebakiza timu mbili
lete picha tukusaidieWakuu nimepewa bonansi 22bet bt kila nikibeti kwa hyo bonansi inagoma
mkuu hizi game za ice hockey unazitoa wap
Inshallah
Pamoja mkuuUwe unafanya kama wenzako wanavyofanya kuweka humu mikeka yao
Zamani nilipokuwa nje kuna kampuni ya Kirusi inaitwa Ligastavok ,walikuwa wanaweka sana ,nilikuwa nacheza na odds zao huwa ni nzuri ,hasa over lazima uotee ,kwa kampuni za hapa bongo sometimes naona sportpesa wanawekamkuu hizi game za ice hockey unazitoa wap