Ni mchezo wa kubahatisha ila unahitaji umakini wa hali ya juu na mtaalamu wa kufuatilia soka
Usijali mkuu. Huu mchezo ni wa kubahatisha. Usiweke Akili yako yote kwenye betting. Assume hiyo 3000 ya betting ni bia moja ambayo ungekunywa. Kamwe hutoumia

NB betting ni ngumu sana usiwekeze huko.

Mimi nasongesha nabeti..then nalipa mkopo wao inayobaki nakunywa bia yote naanza moja.

Hapa nakunywa castle lite adi juma mosi nabeti tena
 
Hahaha eti hadi jumamosi ,
 
Najitoa akili leo....
Screenshot_20210915-172927.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom