Aliyekula mkeka kama mimi anyoshe Mikono juuuu
Screenshot_20210915-063910_Chrome.jpg
 
Mkuu ungeshare nasi kabla ya mchezo kuanza ungetusaidia sana. Wengine bado tunajifunza kuliko ulivyonitamanisha
Usijali mkuu. Huu mchezo ni wa kubahatisha. Usiweke Akili yako yote kwenye betting. Assume hiyo 3000 ya betting ni bia moja ambayo ungekunywa. Kamwe hutoumia

NB betting ni ngumu sana usiwekeze huko.

Mimi nasongesha nabeti..then nalipa mkopo wao inayobaki nakunywa bia yote naanza moja.

Hapa nakunywa castle lite adi juma mosi nabeti tena
 
Hongera
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom