Jamaa yako wa Mexico vipi humfuati tena?Kubet ni uteja mbaya sana niacha kubet siku tatu mwili umeniwasha nimetupia mkeka hahah
Jamaa yako wa Mexico vipi humfuati tena?
Muongo sana yule.Kwanza mechi za HT-FT anapost dk 15-20 baada ya mechi kuanza ukiweka wewe unakuta odds zimeshuka tofauti na yeye.pili anapost mechi hata 4 ambazo hadi halftime hawezi kukosa mechi moja,zingine alizokosea anafuta anabakiza moja.
Congratulations Won
Pa1 sana mkuu..umetisha
Hongera sana AiiseBaada ya Uholanzi kunipa haki yanguView attachment 1822213View attachment 1822214
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Hii ipo Good sana AiiseCongratulations Won
Na mimi nilitaka kucash out ila nikakuta 3800 wakati stake nimeweka 12k nikaamua kuacha uchanike tu kwani nishachana mingapi, wakaja kushinda thanks to KDB alibadilisha mchezo sanaJana nmefanya ujinga wa kiwango cha juu baada ya Belgium kufungwa firsthalf si nikapiga cashout halafu mkeka unatiki nakosa 55kView attachment 1822294
Yule hana lolote,mpika matokeo tuu jana ndio nimepata hitimisho. Anasubiri Game ianze na kupata magoli ndio anaweka tips na ikilose anatoa.Jamaa yako wa Mexico vipi humfuati tena?
Daaa!!! Hatari sana AiiseIlikuwa Close...
View attachment 1822343
LeteFIXED