Jamani mm ni mgeni katika kubet jana niliweka ile ya mchezaj kifunga nimepata elf10000 stake ilikuwa 500...nataman kujua zaidi maana ni kama nilijilipua tu..nataman kicheza zaidi. Asanteni
10000 kwa 500,maana yake mchezaji alikua na odds 20.Mechi gani uliweka mchezaji mwenye hizo odds?
 
Kwa leo ndugu zangu kaen humu basi mambo yasiwe meng kwa wle wa mkeka mmoja kwa siku wale wengine wapenda live mseme tuende live ila nahauri tuunde group ya telegram tuwe tunajilipua huko
Screenshot_2021-06-15-11-31-13-759_com.whatsapp.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom