IMG_5403.png

Odds 26+,chambua
 
Wakuu naomba kuelekezwa maana ya lucky bet kwenye app ya 22bet natanguliza shukran
Lucky bet inafanana kwa kiasi na system bet kwenye lucky bet mnagawana faida na hasara na mhindi ikiwa itatokea kuna timu zimechana mfano kwenye lucky bet ukabet team zako nne kwa stake ya laki ikitokea timu moja imechana utalipwa kiasi kidogo. lakini zilizochana zinapokuwa nyingi ile stake yako ya laki itapunguzwa utapewa kaisi flani mfano 30, 50 nk kutegemea na timu zilzochana ziko ngapi. Maana yake ni kuwa hii luckybet stake yako haipotei yote unagawana hasara na mhindi na kwenye kupata pia mtagawana faida ikiwa zote zitatick. Mungo Park karibu ujazie minyama hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom