tena
Screenshot_20210427-144603.jpg
 
Kuna ile option ya double chance & O.U. inatoa sana. Kwa wale msiokuwa na tamaa, hii itawakomboa. Kwa mfano game ya leo Chalton vs Crew ukiipa ashinde yoyote na magoli yafike mawili ina 1.77. Game mbili tu unapata odds 2+

Ipo princessbet.
 
Ukitaka kujua betpawa ni simba kwenye ngozi ya kondoo hii game hawajaweka. Wanaweka mitimu migumu na bonus kuficha uhuni wao
 
Hao jamaa ni fraud tu mimi nime deposit kupitia mpesa mpaka sasa hakuna kitu
Mkuu 22bet kabla hujadeposit hakikisha umetumia new reference number, maana zinabadilika kila dakika, ukitumia old reference number shida inayotokea ni hiyo hela haiingii
 
Chukua hii.

Exeter total goals Over 1.5
Peterborogh total goals O 1.5
Newport total goals O 1.5
Forestgreen tatal goala O 1.5
Halifax total goals Over 1.5

Hizo ni zaidi ya odds 25 weka 5000 kesho uje unishukuru.
Hapo ni team goals au game goals?? Maana odds 25 nayoifaham mm ngumu kwa over 1.5 ya game goals hizo chache.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom