Chagua moja
Screenshot_20210426-173557_Samsung%20Internet.jpg
 
mara ya kwanza kudepost pesa 1xbet kwa kutumia mawakala,yaan nlituma pesa afu akaniomba ID yangu nikampa hapo hapo akaniandikia DONE nikamuuliza wakala we ni jini au.nillog in chap chap kwel nikaikufa asa nikajiuliza hawa wanatumia mfumo gan mbona imekuw faster kama umeme


siku moja tena nikarequest kutoa pesa nikaombwa code na namba ya kutumiwa,nmemaliza tu kumpa naskia meseji ya mpesa dwiii dwiii
 
HAYA ni matumizi mabovu sana ya Odds weka Stake Tembo utatue matatizo yako ya kifedha ya wiki nzima .

Weweeee hapana!!! Heri upate ndogo kuliko kupoteza kabisa unashinda mechi zote unakosa moja hela inaliwa heri upate hiyo ndogo tu

Nimeweka 2,500 nimepata 11,000 kuna hasara gani hapo hela imerudi na faida ya mara3+
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom