King s
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 348
- 331
Wala hakuna cha kuhofia. Mechi ulizochagua zinajimudu. Jipe matumaini huku unasubiri ela yako tu toka kwa Mhindi baadae. Hata isipotoa wala hakuna shida, hii ni kamaliEt ee chuja zako hapo Kuna moja nawasiwasi nayo
Hahahaha nimehangaika sana hatimae nimetua kwenye Cricket sahizi kidogo nina amani! Kuliwa mara chache chache😂😂😂Wala hakuna cha kuhofia. Mechi ulizochagua zinajimudu. Jipe matumaini huku unasubiri ela yako tu toka kwa Mhindi baadae. Hata isipotoa wala hakuna shida, hii ni kamali
Tupe rules za hio cricketHahahaha nimehangaika sana hatimae nimetua kwenye Cricket sahizi kidogo nina amani! Kuliwa mara chache chache😂😂😂
Download telegram! Ntakupa link ya channels za wahindi wao ndio top kwa huu mchezo!Tupe rules za hio cricket
Sawa AsanteDownload telegram! Ntakupa link ya channels za wahindi wao ndio top kwa huu mchezo!
Cricket haina draw cha kwanza na rahisi kubashiri ukiwa mfuatiliaji wa level ya mpira wa kawaida kule huwezi shindwa!
Naona pisi kali kamla pesa muhindi kimasihara!!Wala hakuna cha kuhofia. Mechi ulizochagua zinajimudu. Jipe matumaini huku unasubiri ela yako tu toka kwa Mhindi baadae. Hata isipotoa wala hakuna shida, hii ni kamali
Nipe namba ya wakala huyo wa 1xbetAchana nao.1x uhakika.kuna Yule dada wa dodoma wakala kanizoea kweli mpaka nataka nimtongoze.sema tupo mbali mbali.
Nipe link mkuuDownload telegram! Ntakupa link ya channels za wahindi wao ndio top kwa huu mchezo!
Cricket haina draw cha kwanza na rahisi kubashiri ukiwa mfuatiliaji wa level ya mpira wa kawaida kule huwezi shindwa!
Hahahaha nimehangaika sana hatimae nimetua kwenye Cricket sahizi kidogo nina amani! Kuliwa mara chache chache
pisikali unachezea odd
hahaa et nimetuaHahahaha nimehangaika sana hatimae nimetua kwenye Cricket sahizi kidogo nina amani! Kuliwa mara chache chache
pisikali unachezea odd
Betpawa hakika 100%je niipi ambayo unaeza weka pesa kwakutumia mtandao wowte mkuu
Niliwasahau hawa kenge walinipotezea 20k yangParimatch je??
Tupe link mkuuDownload telegram! Ntakupa link ya channels za wahindi wao ndio top kwa huu mchezo!
Cricket haina draw cha kwanza na rahisi kubashiri ukiwa mfuatiliaji wa level ya mpira wa kawaida kule huwezi shindwa!
Huku kweli ni kuchezea oddspisikali unachezea odd