Wakuu msaada wenu plz,nimeweka hela kwenye akaunti yangu ya betpawa lakini haijafika, na simuni imetoka. Nimefanyaje??
 
Kuna kipindi unaweza sema ponjoro mchawi dah
Screenshot_20210422-003929.jpg
Screenshot_20210422-003940.jpg
Screenshot_20210422-003940.jpg
Screenshot_20210422-003949.jpg
Screenshot_20210422-004003.jpg
Screenshot_20210422-004017.jpg
 
Usisahau kuleta code mkuu tutembelee nyota
Mkuu betting ni mchezo wa maajabu mno, sijui kuna nini nyuma ya pazia. Hebu imagine unaweka timu 25 halafu timu moja tu inachana mkeka, baadae unaamua kupunguza mechi unaweka 10 still mechi moja tu bado inachana mkeka, unaamua kuweka mechi tano tena hapo ndio ukiwa na uhakika mkubwa wa kuwin, lakini holaa kamechi kamoja bado hakataki wewe utajirike kanaamua kuchana mkeka. Lakini bado hukati tamaa unaamua ngoja niweke mbili aisee pepo baya linaamua kukutuma tena nenda kanitafutie mtaji niletee. Daaah what's behind???
 
Kuna wakati unahisi unafanya biashara na mchawi!
 
Unaweza weka hata mechi1 tu na ikalost...
 
We ache tu mkuu vichapo ninavopata mimi ni hatari nikiweka ata 2 tu znachana zote nikijaribu 20 basi 17 zinachana mpaka nimeamua niwe na copy tu mikeka ya wadau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom