Jiang Ze Dong
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 314
- 851
Sawa kabisa maximum payout hii bila bonus kama ikiwa na bonus hata ml 300+ unatoa haina shidaMaximum payout ya betpawa ni 80M zaidi ya hapo hawatoi
Sawa kabisa maximum payout hii bila bonus kama ikiwa na bonus hata ml 300+ unatoa haina shidaMaximum payout ya betpawa ni 80M zaidi ya hapo hawatoi
Duh kumbe, nilidhani hiyo 80M ni pamoja na bonus. basi hilo behewa la mechi 41 likitiki kanji ataliaSawa kabisa maximum payout hii bila bonus kama ikiwa na bonus hata ml 300+ unatoa haina shida
Cash out inangapi hapa?Duh kumbe, nilidhani hiyo 80M ni pamoja na bonus. basi hilo behewa la mechi 41 likitiki kanji atalia
sijui mahesabu yao ya cashout yakojeCash out inangapi hapa?
Mzigo huo.. Gawa mara 2..
View attachment 1758155
Bila shida yoyoteDuh kumbe, nilidhani hiyo 80M ni pamoja na bonus. basi hilo behewa la mechi 41 likitiki kanji atalia
Kuna siku niliuliza walisema mwisho 1mlsijui mahesabu yao ya cashout yakoje
Ulikuwa uneshinda ngapi na zilizo kuwa bado kucheza zilikuwa ngapiKuna siku niliuliza walisema mwisho 1ml
Nliuliza tu mana walinipigia kunielezea huduma zao mpyaUlikuwa uneshinda ngapi na zilizo kuwa bado kucheza zilikuwa ngapi
Nimeongeza zaidi kuwa team zote zi score na farense ashinde ni odds 6Match of the day
Pacos Ferreira 1 - 2 Farense ODDS 3.05
Uchambuzi wetu ni kuwa Farense anahitaji sana hii mechi ajikwamue asivuke daraja hivyo yuko tayari kufia uwanjani. Kwa hiyo, mwenyeji ataambulia patupu.
Fafanunua mkuuGood things comes to those who wait
Chelsea - Brighton : [ 1 ] : Full-time
You can't see the fruits now untill you are nolonger a member
The citizens are welcome to play with us
Chelsea ashindeFafanunua mkuu
Daaaaaa.....coast kanichinjaJaman apa vip.?????
1.KMC vs biashara both team to score
2.coast union vs mtibwa...coast win
3.bright stars vs express both team to score.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Sio mbaya tuanze tena
Ungeweka mawasiliano yako watu wakucheki moja kwa moja. kuwasiliana kupitia PM hapa JF ndio mwanzo wa ku expose ID.PATA LAINI YA UWAKALA KWA MAJINA YAKO CHAPU NA HARAKA (24)
Halopesa Elfu 25000 Tzs Saa 12/24 Done
Airtelmomey Elfu 80000 Tzs masaa 3 Done
Tigopesa 150000 Tzs saa 12/ Done
M-pesa 155000 Tzs saa 12/24 Done
vigeze Tin Number Nida kitambulisho Na Leseni ya Biashara
NB MALIPO NI BAADA YA KAZI
Shukrani mkuu 0624181846 call/whatsapUngeweka mawasiliano yako watu wakucheki moja kwa moja. kuwasiliana kupitia PM hapa JF ndio mwanzo wa ku expose ID.
JF members take care of this.!