Hizi jackport hizi,hivi sio kwamba tunapigwa changa la macho wakishaona mzigo umekua mkubwa wanatafuta mtu wao then wanarudisha mzigo kwenye mzunguko..kwenye hii dunia ya teknolojia lolote linawezekana..yule mzungu wa sportpesa sinaga imani nae,amekaa mjanjamjanja hashindwi hata kumvalisha mtu sura bandia..anyway nimewaza tu kwa sauti.
 
Duuuh inawezekana hii kitu...
 
Hii option ya pili Mkongwe kwa matumizi ya VAR naona kama ina risk kidogo...

Kwanini mkuu?

Hii imekuja nadhani baada ya VAR kuanza kutumika

Sometimes inachana haswa kwenye game za mashambulizi mengi na timu zinazocheza offside tricks

Si unajua ile unapokea notification goli halafu dk sifuri unapokea ingine bao limekataliwa
 
Haya matimu ya North America sina hamu nayo aisee. Sitakuja kurogwa nikayaweka kwenye mkeka wangu tena:

1616405305677.png
 
Hizi jackport hizi,hivi sio kwamba tunapigwa changa la macho wakishaona mzigo umekua mkubwa wanatafuta mtu wao then wanarudisha mzigo kwenye mzunguko..kwenye hii dunia ya teknolojia lolote linawezekana..yule mzungu wa sportpesa sinaga imani nae,amekaa mjanjamjanja hashindwi hata kumvalisha mtu sura bandia..anyway nimewaza tu kwa sauti.
Nimeshashuhudia jamaa akipewa taslimu nilikiwa nakaaa nae kitaaa, jamaa nikajiendeleza vibaya mno kwenye biashara ukishinda unapewa iko real kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom