Kikubwa live games huwa nazuia magoli tu. Unachagua ligi ambazo hawafungani fungaji kiboya. Hata kama wanafungana unazuia magoli KWA kuangailia idadi ya magoli ambayo yameshafungwa na uregu wa muda unaozuia mpaka mpira kuisha.

Huwa nazuia first half tu au second half tu. Kuzuia game nzima dkk90 zote utapigwa

Mfano: KWA first half huwa navizia mpaka dakika ya 15-18 hv... Nikiona hakuna goli (0-0) naweka under 1.5 HT .. Kama goli ni moja naweka under 2.5 HT... ila ukiona game dakika ya 15~20 tayari wamefungana goli mbili mpaka tatu achana nao rede hapo usizuie...


Pia huwa nazuia dakika ya 38-45
Mfano game dkk ya 38 iko 0-0 naweka under 0.5 HT yaani wasifungane mpaka mapumziko. Kama wapo 1-0 dkk ya 36 hv naweka Under 1.5 HT... ukikusanya game tatu tu odds mbili tayari maana huwa zinakua na 1.36 odds mpaka 1.20.. ukiona odds iko below 1.20 achana nazo. Usijirisk KWA odds za kipuuzi


KWA SECOND HALF , hapa huwa navizia dakika kuanzia ya 68mpaka74 hivi... Kama game iko 2-0 unaweka tu under 3.5 , kama iko 3-1 unaweka under 5.5 na odds juwa zinaanzia 1.40 mpaka 1.20 hivi kwahiyo ukikusanya game tatu au nne unapata odds 2.00...

ANGALIZO: Ukiona unakusanya game nne BADO hazifikishi odds mbili, ni heri unabetia hizohizo hata kama odds 1.70... kwasababu kadri unavyoweka matimu mengi ndio unajiongezea uwezekano wa kuliwa. Huwa sizidishi timu 4-5
Betting ni strategy tu, ukishapata strategy inayofanya kazi basi ni burudani tu 😂
 
Mkuu ubarikiwe sn kwa technique hii asee nimefanya majaribio ya mechi kadhaa mazoezi yote yamefanikiwa kwa zaidi ya mara 10

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hahahah nafurahi sana wana atleast watu watafaidika na hii strategy ya under. I
Mkuu ubarikiwe sn kwa technique hii asee nimefanya majaribio ya mechi kadhaa mazoezi yote yamefanikiwa kwa zaidi ya mara 10

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Inapendeza kuona strategy inafanya kazi...Endelea kuinjoy mawe mkuu! Sasa ni muda wa kujifuta machungu😂
 
Hii mimi nibatiza kuanzia leo itaitwa formation ya 5-4-1 formation zuia magoli
Hahahah nafurahi sana wana atleast watu watafaidika na hii strategy ya under. I
Inapendeza kuona strategy inafanya kazi...Endelea kuinjoy mawe mkuu! Sasa ni muda wa kujifuta machungu😂
 
Mk
Nime test live Aston villa dakika ya 38 ilikuwa 1,nikapiga under 1.5 1hlf,,,dakika ya 45 gor na real Madrid naye dk ya 45 kajaza kitu tena.diuuu mbio zote zikaishia hapo
Hio tunaita bahat mbaya, ila usikate tamaa! Ni mara chache mno hali hio hutokea na ndio betting ilivyo ila hii strategy inawork by 90% success rate
 
Kama hawa 22bet nao wanakata 20% bora kurudi tu parimatch tena unaweza pata odd kubwa zaid parimatch kama unacheza option za kawaida
20210124_074858.jpg
20210124_074847.jpg
 
Mkuu naomba nielekeze kwa mawakala unafanyaje deposit. Na hawa ni mawakala gani exactly, ni hawa mawakala pesa kwa mitandao ya simu au ni mawakala wengine. Naomba muongozo ndugu yangu.
Wako wengi. Sema upate waaminifu tu. Nilitoa namba yangu hapo juu ukitaka nicheki whatsapp nitakutumia namba zao. Nawafahamu mawakala wa uhakika zaidi ya sita ambao nimeshafanya nao kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom