Kaka naongea nawewe saa 5. dkk 9 hii! Leo tafta gemu ubetie under 2.5 first half then utanipa mrejesho. Epuka ligi za Brazil. Au ukipata za under 4.5 au 5.5

Kwa uzoefu wangu probability ya mechi nyingi kupata goli 2 HT ni kwenye 30% na kupata goli 3HT ni 15%! Very rare case timu zinaweza fungana goli 3 in first half. Which makes under 2.5 HT very safe bet.

Full time probability ya mechi nyingi kupata 3+ ni kwenye 50% na kupata 4+ ni 15%!
Kwahio napo utaona kwamba safest regions ni Under 4.5 au 5.5 japo hii inakuwaga na odds chache ni nzuri kama unastake higer
Sasa ili kunogesha hiyo unapiga Inplay unasubiri First half ipite unabeti dakika ya 55 kuelekea 60 swaafi kabisa au kama ni first half kausha mpaka dakika ya 25
 
the provider of this website, is licensed by Ministry Of Finance and Planning Gaming Board of Tanzaina under the Gaming Act 2003, Laws of Tanzania, to carry out Internet Sports Betting Business under the License number SBI000000015.,nmecopy hio toka kwe website yao, kwann unasema hawajasajiliwa?
nimeona kiongozi hata website yao wanatumia ya tz www.22bet.co.tz itakua wamesajiliwa juzi juzi tu
 
Sasa ili kunogesha hiyo unapiga Inplay unasubiri First half ipite unabeti dakika ya 55 kuelekea 60 swaafi kabisa au kama ni first half kausha mpaka dakika ya 25
Mkuu nilijaribu siku moja huu mtindo livebet ya betika nilipiga kinoma sema ndio.hvyo stake niliweka ndogo lkn nikapata mtaji yaan dakika ya 20 natia suluhu au under 1.5 asee nilipata ya mtaji😂😂
 
Let's try 5 odds
 

Attachments

  • Screenshot_20210121-174943.png
    Screenshot_20210121-174943.png
    19.6 KB · Views: 2

Similar Discussions

Back
Top Bottom