Wakuu naamin wote humu niwatafutaji naomba tuelekezane namna nyingne ya kupata pesa kirahis na bila kutoa jasho ila kinachotaftwa Ni mda tu......naongelea maswala ya cryptoccureny....ukiivest huko Kuna faida mfano mm nilinunua etherium moja mwez wa sita mwanzon kwa sh 397000/ leo hii et etherium moja inauzwa lak 921500! Hebu unaweza kuona Ni faida Kias gan nimetengeneza. Pia nilinunua stellar 260 ambazo mwez huo zilikuwa zinauzwa kwa sh 111 kwa Kila moja lakin leo hiii stellar imepanda nakufikia 250 hapo niliweka tu pesa yangu na kutulia kwa hyo unaweza kuona Ni namna gan ilivyorahisi kuwin! Naomba mnielewe sijasema betting mbaya ila kwa anayeweza Ni vyema akawekeza huku yaan wahold!
Nawatakia majukum mema kuekelea uchumi wa kati
 
Madoido mengi sana hata kama una nia ya kusaidia watu kwa option ila mapambo yanazidi, mpka kuona tu ni mechi gani kusudiwa inakuwa tabu.

Kwa nn usiandike tu mfano

Manutd-Copenhagen
Man u - win, ama
Total goals 3+ etc

Sikupangii ni ushauri
Unamuonea Didy yeye anachofanya ni ku-copy na ku-paste kutoka kwenye ma-group ya wanaijeria na sehemu zingine,sasa akuchambulie tena hiyo ni kazi yako. Ukitulia hauwezi kosa pesa kwenye hayo mazaga.
 
Lunch...
IMG_20200810_121835_658.JPG
 
Wakuu naamin wote humu niwatafutaji naomba tuelekezane namna nyingne ya kupata pesa kirahis na bila kutoa jasho ila kinachotaftwa Ni mda tu......naongelea maswala ya cryptoccureny....ukiivest huko Kuna faida mfano mm nilinunua etherium moja mwez wa sita mwanzon kwa sh 397000/ leo hii et etherium moja inauzwa lak 921500! Hebu unaweza kuona Ni faida Kias gan nimetengeneza. Pia nilinunua stellar 260 ambazo mwez huo zilikuwa zinauzwa kwa sh 111 kwa Kila moja lakin leo hiii stellar imepanda nakufikia 250 hapo niliweka tu pesa yangu na kutulia kwa hyo unaweza kuona Ni namna gan ilivyorahisi kuwin! Naomba mnielewe sijasema betting mbaya ila kwa anayeweza Ni vyema akawekeza huku yaan wahold!
Nawatakia majukum mema kuekelea uchumi wa kati
Umeelezea faida2 hasara je, hujaelezea maana hakuna ki2 chenye faida pekee
 
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)

2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...

I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...

II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....

H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...

A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Betpawa Jackpot, goals mechi 15 mpaka sasa nimekosea 1 nimepatia 11, bado mechi mbili za leo na moja imeahirishwa, vipi nikikosea zote 2 za leo kuna uwezekano wa kupata mpunga wowote??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom