Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Odds za kifala vilishanichaniga kwa man city odds ndogo cheza direct win sichezi ata kwa bakora.
Wamebaki hao wawili tu katika jackpot?Man na liver watobe jumapili iwe ya nguvu kwangu duna zenu jackpot
Man dahWamebaki hao wawili tu katika jackpot?
Mkuu mbona kashinda labda kama ulicheza magoli
Naomba matokeo yabaki kama yalivyo mungu nisimamieMan dah
Hawa villa wanaangusha SGR hivihivi nimewapa goli moja pia ni shidaEPL kumejaa makapu ya magoli kwa tuliochecheza single na over 2.5 😂🍔🌮🍟🥗 ila mechi ya Aston Villa nyambafu akuna over 2.5😵
Pole mkuu tusikate tamaa bet moja ya migodiBroh nilikuwa na mkeka million 46 hao wangese ndo wameshafanya yao
Jackpot yako inapumuaPole mkuu tusikate tamaa bet moja ya migodi
Nishampusua mungu ni mwema nilibeti mikeka 3 miwili ndio hii iliowin mmoja niligeza matokeo umekufaJackpot yako inapumua
Inasoma ngapi?Nishampusua mungu ni mwema nilibeti mikeka 3 miwili ndio hii iliowin mmoja niligeza matokeo umekufaView attachment 1517729